Simba na Yanga zilianzishwa na mzungu, klabu zetu tulizojenga ziko wapi?

Kwani simba na yanga ziko ulaya ama hapa tanzania?
Ni vilabu vya tanzania.
Hata kama vingeanzishwa na malaika kutoka mbinguni.

Hakuna mtu analazimishwa kushabikia team yake ya nyumbani. Ni uamuzi wa mtu binafsi. So kila myu ana uhuru wa kushabikia team anayoitaka.

Pili vilab vingi vya chini havina uwekezaji. Hakuna tajiri anawekeza kwenye team isiyomletea faida. Ndio maana wawekazaji wakubwa wanaanhalia simba na yangu au hata azam sababu zina mashabiki wengi. Na ndio zinaingiza faida kubwa.
 


Ndio maana nikasema hamuelewi maana ya football club, kama unakuwa mwanachama wa timu kwa sababu ya utajiri wa timu basi hata football game yenyewe hauilewi pia achilia mbali hata maana ya uanachama, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…