Simba na Yanga zimetutia ujinga mwingi

Simba na Yanga zimetutia ujinga mwingi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nikisikiliza habari za michezo leo alasiri kupitia chombo kimoja kikubwa cha habari nchini. Mtangazaji wa habari (za michezo) akinadi michezo itakayojiri kuanzia leo hadi wikiendi Jumapili. Ameinadi michezo yote akiutaja mpambano wa Yanga na Simba kuwa ndiyo mchezo mkubwa na unaosubiriwa na wengi.

Kilichonishangaza ni jinsi alivyoshindwa kuelezea uwepo wa mchezo wa timu yetu ya taifa ya wasichana ambayo kesho mchana itatupa karata muhimu ikicheza robo fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Colombia, ameshindwa hata kuongelea uwepo wa mchezo huo!

Nimejiuliza hivi hizi Simba na Yanga zimetufikisha kutudumaza akili kiasi hiki? Wale mabinti wameweka historia na sasa wao ni gumzo katika tasnia ya michezo duniani, kwa kuwashinda vigogo wakubwa na kutinga robo fainali. Wewe mwandishi huoni kama ni stori badala yake unakazia na kurembesha habari ya Simba na Yanga!

Watanzania tuamke, Watanzania tubadilike, tuangalie mbali, tuangalie Dunia inakwenda vipi, tusidumae akili.
Tuwape hongera na kuwaombea sala na dua vijana wetu wa chini ya miaka 23, wasichana watakaocheza robo fainali na Colombia saa 8 kesho (India) na wale wavulana watakaocheza na Nigeria saa 10 kesho (Dar).

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wahandishi au Watangazaji wanaleta taarifa kutokana na upepo Wetu.
Simba na Yanga zinapewa promo kubwa sana na media ZETU na sipati siku team moja ikija kutwaa club bingwa Africa au hata Kombe la Shirikisho TU.
Soka letu
Maisha Yetu
KIVYETU VYETU
 
Nikisikiliza habari za michezo leo alasiri kupitia chombo kimoja kikubwa cha habari nchini

Mtangazaji wa habari (za michezo) akinadi michezo itakayojiri kuanzia leo hadi wikiendi jumapili.

Ameinadi michezo yote akiutaja mpambano wa Yanga na Simba kuwa ndio mchezo mkubwa na unaosubiriwa na wengi

Kilichonishangaza ni jinsi alivyoshindwa kuelezea uwepo wa mchezo timu yetu ya taifa ya wasichana ambayo kesho mchana itatupa karata muhimu ikicheza robo fainali ya KOMBE LA DUNIA dhidi ya colombia ..ameshindwa hata kuongelea uwepo wa mchezo huo!

Nimejiuliza hivi hizi simba na Yanga zimetufikisha kutudumaza akili kiasi hiki?wale mabinti wameweka historia na sasa wao ni gumzo ktk tasnia ya michezo duniani kwa kuwashinda vigogo wakubwa na kutinga robo fainali,wewe mwandishi huoni kama ni story badala yake unakazia na kurembesha habari ya simba na yanga!

Watanzania tuamke watanzania tubadilike,tuangakia mbali tuangalie dunia inakwenda vipi,tusidumae akili.
Tuwape hongera na kuwaombea sala na dua vijana wetu wa under 23 wasichana watakaocheza robo fainali na colombia saa 8 kesho,(india)na wale wavulana watakaocheza na Nigeria saa 10 kesho(Dar)

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Mtangazaji yuko sahihi . Simba Vs Yanga ni mechi kubwa si Tanzania tu Bali Africa nzima .
 
Nikisikiliza habari za michezo leo alasiri kupitia chombo kimoja kikubwa cha habari nchini. Mtangazaji wa habari (za michezo) akinadi michezo itakayojiri kuanzia leo hadi wikiendi Jumapili. Ameinadi michezo yote akiutaja mpambano wa Yanga na Simba kuwa ndiyo mchezo mkubwa na unaosubiriwa na wengi.

Kilichonishangaza ni jinsi alivyoshindwa kuelezea uwepo wa mchezo wa timu yetu ya taifa ya wasichana ambayo kesho mchana itatupa karata muhimu ikicheza robo fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Colombia, ameshindwa hata kuongelea uwepo wa mchezo huo!

Nimejiuliza hivi hizi Simba na Yanga zimetufikisha kutudumaza akili kiasi hiki? Wale mabinti wameweka historia na sasa wao ni gumzo katika tasnia ya michezo duniani, kwa kuwashinda vigogo wakubwa na kutinga robo fainali. Wewe mwandishi huoni kama ni stori badala yake unakazia na kurembesha habari ya Simba na Yanga!

Watanzania tuamke, Watanzania tubadilike, tuangalie mbali, tuangalie Dunia inakwenda vipi, tusidumae akili.
Tuwape hongera na kuwaombea sala na dua vijana wetu wa chini ya miaka 23, wasichana watakaocheza robo fainali na Colombia saa 8 kesho (India) na wale wavulana watakaocheza na Nigeria saa 10 kesho (Dar).

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sema zimekutia ujinga
 
Biashara aisee aanze kuongelea wale mabinti kwa muda mrefu, watu WaTune Chanel nyingine.
 
Hata ile timu ya walemavu (Tembo Warriors) haikutendewa kabisa haki! Ilifikia mpaka hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kombe la dunia hilo hilo!
Lakini story nyingi za waandishi na watangazaji uchwara wa habari ni kuhusu tu simba na Yanga!

Lakini wakati mwingine, hata TFF nayo inahusika kwenye huu upuuzi. Sina maneno mengi. Maana nitaonekana nina chuki na yule Msomali.
 
Yanga wote mna chuki na Karia,ila sababu zenu ni za kufikirika tu.
 
Nikisikiliza habari za michezo leo alasiri kupitia chombo kimoja kikubwa cha habari nchini. Mtangazaji wa habari (za michezo) akinadi michezo itakayojiri kuanzia leo hadi wikiendi Jumapili. Ameinadi michezo yote akiutaja mpambano wa Yanga na Simba kuwa ndiyo mchezo mkubwa na unaosubiriwa na wengi.

Kilichonishangaza ni jinsi alivyoshindwa kuelezea uwepo wa mchezo wa timu yetu ya taifa ya wasichana ambayo kesho mchana itatupa karata muhimu ikicheza robo fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Colombia, ameshindwa hata kuongelea uwepo wa mchezo huo!

Nimejiuliza hivi hizi Simba na Yanga zimetufikisha kutudumaza akili kiasi hiki? Wale mabinti wameweka historia na sasa wao ni gumzo katika tasnia ya michezo duniani, kwa kuwashinda vigogo wakubwa na kutinga robo fainali. Wewe mwandishi huoni kama ni stori badala yake unakazia na kurembesha habari ya Simba na Yanga!

Watanzania tuamke, Watanzania tubadilike, tuangalie mbali, tuangalie Dunia inakwenda vipi, tusidumae akili.
Tuwape hongera na kuwaombea sala na dua vijana wetu wa chini ya miaka 23, wasichana watakaocheza robo fainali na Colombia saa 8 kesho (India) na wale wavulana watakaocheza na Nigeria saa 10 kesho (Dar).

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Zimewatia ujinga nyie watopolo tu kwa vile nyie wote ni hamnazo ispokuwa Sunday Manara na Mzee JK.
 
Wanatangaza kitu ambacho wapenzi wasikilizaji wao wanapenda kusikia.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Sasa hiyo habari ndo imekuogopesha kutaja jina la chombo cha habari na jina la mtangazaji?
Sawa, lakini huo sio usimba na uyanga ni mapungufu ya watangazaji tu.
 
Wanatangaza kile ambacho walaji wanahitaji..kwenye hao wajinga Baki peke yako..simooo
 
Nikisikiliza habari za michezo leo alasiri kupitia chombo kimoja kikubwa cha habari nchini. Mtangazaji wa habari (za michezo) akinadi michezo itakayojiri kuanzia leo hadi wikiendi Jumapili. Ameinadi michezo yote akiutaja mpambano wa Yanga na Simba kuwa ndiyo mchezo mkubwa na unaosubiriwa na wengi.

Kilichonishangaza ni jinsi alivyoshindwa kuelezea uwepo wa mchezo wa timu yetu ya taifa ya wasichana ambayo kesho mchana itatupa karata muhimu ikicheza robo fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Colombia, ameshindwa hata kuongelea uwepo wa mchezo huo!

Nimejiuliza hivi hizi Simba na Yanga zimetufikisha kutudumaza akili kiasi hiki? Wale mabinti wameweka historia na sasa wao ni gumzo katika tasnia ya michezo duniani, kwa kuwashinda vigogo wakubwa na kutinga robo fainali. Wewe mwandishi huoni kama ni stori badala yake unakazia na kurembesha habari ya Simba na Yanga!

Watanzania tuamke, Watanzania tubadilike, tuangalie mbali, tuangalie Dunia inakwenda vipi, tusidumae akili.
Tuwape hongera na kuwaombea sala na dua vijana wetu wa chini ya miaka 23, wasichana watakaocheza robo fainali na Colombia saa 8 kesho (India) na wale wavulana watakaocheza na Nigeria saa 10 kesho (Dar).

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hicho chombo kikubwa peke yake ndio kimeongelea michezo?
 
Shida ni kukosa weledi na kufanya mambo kwa mazoea. Watanzania wanaathirika na 'group thinking', wachache sana wako tayari kufanya vitu au kusema vitu tofauti na wengine.
 
Mtoa mada hujui kuwa ile ni biashara unataka wa hype mechi ya wanawake ambayo hakuna anayewajua?! Uza kitu kinachopendwa na kuhitajika na watu wengi sokoni ili iwe rahisi kupata pesa.
 
Sasa wale mabinti wanacheza world cup...ni mechi ya kiwango cha Dunia sio afrika....
Sasa kipi kikubwa kati ya afrika na dunia?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Kuwa World Cup haimaanishi ina kiwango cha dunia , inategemea ni World Cup ya nini . World Cup zipo nyingi mno na watu hawazijui na si Tanzania tu . Mfano fainali ya UEFA ipo juu mno kuliko World Cup ya basketball. Issue siyo global stage issue ni aina ya mechi .

Jibu langu ni kwamba Simba Vs Yanga bado imeizidi umaarufu hiyo mechi ya mabinti na si huyo mtangazaji pekee bado utaona hata vibanda umiza na pub zitajaa hapo kesho 23 ila Hiyo ya mabinti nani anatizama?
 
Kufatilia Simba na Yanga ni moja ya ujinga

Mtu makini anaangilia EPL au LALIGA na sio upuuzi

Nunua Tv yako flat screen nchi 50 nunua DStv yako then watch the game.
 
Back
Top Bottom