Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
605B4AF4-4E17-4DA6-BD18-7DA7D043A153.jpeg
CA351BC3-A771-403D-A31F-D5259873E504.jpeg

Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
 
Biashara yote ni ya sandaland yeye ndiye ataziprint hizo jezi, ameleta ukkoo kwenye hii biashara ya jezi.

Sandaland hupokea jezi za timu zote na kuziuza sasa kaingia kwenye biashara. Na mwenye asili aachi asili, biashara yake huwa inalenga alete mzigo utoke chap hapo hapo.

Ndio kinachofanyika . Hawezi leta pisi laki moja alafu ziende taratibu kama kadeti zake dukani pale.

Kaleta ukkoo kwenye biashara.
 
32000*108= 3,456,000
32000*120= 3,840,000

HERE WE GO!

WAMESHACHEZA NA SAIKOLOJIA ZA WABONGO, WANAJUA LAZIMA WATANUNUA NO MATTER WHAT!

Sheria Ngowi yupo vizuri sina shaka nae

Huyo SUNDERLAND ndio kwanza anaanza sijiui ataleta jezi gani
 
Mauzo ya jezi yanaangaliwa na vitu vingi kama a7na ya wachezaji waliosajiliwa rajea usajili wa Figo na Christian Ronaldo real Madrid
 
Back
Top Bottom