Biashara yote ni ya sandaland yeye ndiye ataziprint hizo jezi, ameleta ukkoo kwenye hii biashara ya jezi.
Sandaland hupokea jezi za timu zote na kuziuza sasa kaingia kwenye biashara. Na mwenye asili aachi asili, biashara yake huwa inalenga alete mzigo utoke chap hapo hapo.
Ndio kinachofanyika . Hawezi leta pisi laki moja alafu ziende taratibu kama kadeti zake dukani pale.