kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe.
TFF, wadhamini na timu zote Kuna heshima maalum lazima wawape Simba na Yanga.
Mdhamini mkuu wape fungu maalum Simba na Yanga. TFF angalia ratiba ya Simba na Yanga. Timu ndogo waheshimuni ng'ombe wenu wa maziwa Simba na Yanga, maana bila wao hakuna viingilio Wala wadhamini kwenu.