Kuna kipindi ilikuwa hivyo ila wakabadili, mtindo wa sasa unazisaidia timu ndogo kujinasua kiuchumiWadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe.
TFF, wadhamini na timu zote Kuna heshima maalum lazima wawape Simba na Yanga.
Mdhamini mkuu wape fungu maalum Simba na Yanga. TFF angalia ratiba ya Simba na Yanga. Timu ndogo waheshimuni ng'ombe wenu wa maziwa Simba na Yanga, maana bila wao hakuna viingilio Wala wadhamini kwenu.
Washabiki wanaowapa pesa na mileage ni wale wa Simba na Yanga kwenye mechi zao dhidi ya Simba na Yanga. Kwanini hizi timu zisiamnulie chochote kwenye mapato Yale mikoani? Juzi nilikuwa naangalia mechi ya Azam na coastal union pale Zanzibar ya ngao ya jamii, uwanjani hakukua na watu wengi. Ingekuwa tofaiti kama timu Moja ingekuwa Simba au Yanga. Timu za Yanga na Simba zinanyonywa kwenye ligi, zinatumia gharama kubwa sana kuliko mapato.Kuna kipindi ilikuwa hivyo ila wakabadili, mtindo wa sasa unazisaidia timu ndogo kujinasua kiuchumi
Una kichwa kigumu mzee, wameweka kila timu mwenyeji kuchukua mapato yote kuwasaidia timu ndogo kupata chochote, hizo simba na yanga zina wadhamini kibaoWashabiki wanaowapa pesa na mileage ni wale wa Simba na Yanga kwenye mechi zao dhidi ya Simba na Yanga. Kwanini hizi timu zisiamnulie chochote kwenye mapato Yale mikoani? Juzi nilikuwa naangalia mechi ya Azam na coastal union pale Zanzibar ya ngao ya jamii, uwanjani hakukua na watu wengi. Ingekuwa tofaiti kama timu Moja ingekuwa Simba au Yanga. Timu za Yanga na Simba zinanyonywa kwenye ligi, zinatumia gharama kubwa sana kuliko mapato.
Ligi inaendeshwa kwa usawa,Siku moja nilikuwa nakisikia kichambuzi kimoja kikilalamika kwenye redio ya mtu, eti kwanini na Simba na Yanga hazipangiwi ratiba ya kucheza mechi za saa 8 mchana kama timu nyingine? Kimebana pua eti kinaona kimetoa hoja kwenye jamii. Yaani kinataka maelfu na maelfu ya watanzania mashabiki wa timu hizi wakapigwe na jua uwanjani saa 8 mchani, kikosi cha gharama kubwa kikapigwe na jua saa 8 mchana sawa na Ihefu au mtibwa.
Wewe unazingua, kwan simba na yanga zikiwa dar kuna mtu anachukua mapato?Washabiki wanaowapa pesa na mileage ni wale wa Simba na Yanga kwenye mechi zao dhidi ya Simba na Yanga. Kwanini hizi timu zisiamnulie chochote kwenye mapato Yale mikoani? Juzi nilikuwa naangalia mechi ya Azam na coastal union pale Zanzibar ya ngao ya jamii, uwanjani hakukua na watu wengi. Ingekuwa tofaiti kama timu Moja ingekuwa Simba au Yanga. Timu za Yanga na Simba zinanyonywa kwenye ligi, zinatumia gharama kubwa sana kuliko mapato.
Nalijua hilo, timu mwenyeji anapata mapato mengi kwenye mechi za Simba na Yanga TU. Kwanini usizishukuru na kuziheshimu Simba na Yanga?Una kichwa kigumu mzee, wameweka kila timu mwenyeji kuchukua mapato yote kuwasaidia timu ndogo kupata chochote, hizo simba na yanga zina wadhamini kibao
Kama hujaielewa mada tulia kwanza na uheme kwa nguvu. Washibiki mikoani wanaingia wengi viwanjani kuziona Simba na Yanga zinapocheza na timu zao. Wanapata mapato yao indirectly kupitia Simba na Yanga, hivyo Simba na Yanga lazima zitizamwe kwa jicho tofaiti kwenye ligi na kwenye mapato.Wewe unazingua, kwan simba na yanga zikiwa dar kuna mtu anachukua mapato?
Kwahiyo unataka wazipigie magoti?Nalijua hilo, timu mwenyeji anapata mapato mengi kwenye mechi za Simba na Yanga TU. Kwanini usizishukuru na kuziheshimu Simba na Yanga?
AsikilizweUna hoja mkuu.
Jiongeze kaka. Pesa wanazopewa hawa timu nyingine wakiwa uwanja wa nyumbani ni pesa za simba/yanga zinazotokana Na fans wao. Ndiyo maana zikicheza Na.timu nyingine nje y simba. Na yangaWewe unazingua, kwan simba na yanga zikiwa dar kuna mtu anachukua mapato?