Simba na Yanga zote mbovu tu, kinachowasaidia sana ni mipango nje ya uwanja

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.

Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.

Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
 
Ukitaka kujua kwamba Yanga ni mbovu fuatilia matokeo ya mechi zao za kimataifa miaka 5 mfululizo hajawahi kushinda mechi hata Moja ya kimataifa

Yanga 0, pyramid 2 (mwz)
Pyramid 3 , Yanga 0(kairo)
Yanga 1 , Zanaco 2(Dar)
Yanga 0 , Rivers 1(Dar)
Rivers 1 , Yanga 0(Lagos)
Yanga 1 ,wasomali1(Dar)

Mwakani tunaenda kushuhudia aibu nyingine kwa taifa . Utopolo litakuwa jamvi la wageni .
 
Ukitaka kujua kwamba Yanga ni mbovu fuatilia matokeo ya mechi zao za kimataifa miaka 5 mfululizo hajawahi kushinda mechi hata Moja ya kimataifa

Yanga 0, pyramid 2 (mwz)
Pyramid 3 , Yanga 0(kairo)
Yanga 1 , Zanaco 2(Dar)
Yanga 0 , Rivers 1(Dar)
Rivers 1 , Yanga 0(Lagos)
Yanga 1 ,wasomali1(Dar)

Mwakani tunaenda kushudia aibu nyingine kwa taifa . Utopolo litakuwa jamvi la wageni .
Iyo Ya Yanga Na Zanaco Ilikuw Michuano Gani Mkuu?
 
usiku huu hujalala unaiwaza yanga.pole mkuu
 
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.

Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.

Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
Bongo mpira ni mdomoni tu.
 
Historia ya Yanga kwenye CAF championsleague ni aibu tupu!
Screenshot_20220523-224907.jpg
 
Hii simba mbovu ila imecheza robo fainali kombe la shirikisho Afrika

Daah! Tanzania nchi yangu.......Lazima tukubali level ya ushindani kwenye league yetu imekuwa kubwa sana
 
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.

Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.

Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
Hazifiki mbali kivipi unaweza linganisha mafanikio ya simba na yanga kwa maana ya kufika mbali?Simba hawajawahi chukua ubingwa CAF lakini wana record nzuri kuliko Yanga kuwaweka pamoja na Yanga si sahihi,just be neutral u will realize what the truth is.
 
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.

Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.

Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
Yaani kama nawaona Yanga wakitolewa raundi ya kwanza tu, hawa wapuuzi hawafai kabisa kimataifa, wanatuhaibisha as a country.
 
Back
Top Bottom