Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Kama tulivyo aibishwa kwa uchawi as a countryYaani kama nawaona Yanga wakitolewa raundi ya kwanza tu, hawa wapuuzi hawafai kabisa kimataifa, wanatuhaibisha as a country.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tulivyo aibishwa kwa uchawi as a countryYaani kama nawaona Yanga wakitolewa raundi ya kwanza tu, hawa wapuuzi hawafai kabisa kimataifa, wanatuhaibisha as a country.
Class is permanent mkuu ila form is temporarilyMpira hauwezi kuutafsiri hivyo. Watford alimfunga man utd 4 lakini kashuka daraja na man utd ni wa sita.
Sakho yuko obsessed kupata timu kubwa na ndio maana anafanya vizuri caf lakini home anazingua. Ligi inaongezeka ubora lakini sio kwa kumfanya mnyama asifanikiwe.Class is permanent mkuu ila form is temporarily
Ukilielewa hili wala huwezi kuhalalisha eti timu yangu ni mbovu wakati juzi umetoka huko robo fainali na sakho akifungwa magoli ya kwenye kideo ila kwenye ligi anatoa macho tu
Give a piece of appreciation kwa ushindani Wa ligi kuu uliopo sasa tofauti na kipindi cha nyuma
Kwahiyo Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa vizuri ila alichukua sababu yanga ilikuwa mbovu?Yanga anachukua ubingwa kwasababu Simba sio nzuri msimu huu. Usajili haukuwa mzuri.
Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.Kwahiyo Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa vizuri ila alichukua sababu yanga ilikuwa mbovu?
Kwahyo uzembe wa liver ndo umefanya city awe bingwa? Hv nyie watu mna shida gani na mpira wa miguu? Inaonekana kwenu soka ni mchezo mwepesi sana ee? Inabid mkubali ya kwamba ushindi unmambo mawili, jitihada na bahat.. kubalini tuu huu mwaka mambo magum mjipange mwaka ujao.Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.
Kama Simba angeshinda michezo na mtibwa, polisi, namungo, azam na geita gold basi tayari angekuwa anaongoza ligi kwa matokeo ya yanga yalivyo.
Na Simba misimu aliyochukua ubingwa hizo timu alikuwa anajipigia tu ila sasa hivi kaishia sare.
Hii ina maana Kolowizard ni bingwa wa robo fainali.Simba isiyokuwa nzuri imecheza robo fainali shirikisho CAF. Hiili linamaana gani?
Uwezo wako wa kujenga hoja umenichosha. Tofauti ya point kati ya liva na city utafananisha na hii ya Simba na yanga?Kwahyo uzembe wa liver ndo umefanya city awe bingwa? Hv nyie watu mna shida gani na mpira wa miguu? Inaonekana kwenu soka ni mchezo mwepesi sana ee? Inabid mkubali ya kwamba ushindi unmambo mawili, jitihada na bahat.. kubalini tuu huu mwaka mambo magum mjipange mwaka ujao.
Usiwe unaongea kama unaongea na watoto zako nyumbani kwako Simba msimu uliopita katoa sare 5 na kufungwa game 3. Ina maana mpaka hapo kapoteza point 25. Yanga mpaka sasa ana sare 7 inamaana kapoteza point 14 tu huku ikibakiza michezo 4 pekee. Yanga akifungwa mechi zote 4 atakuwa kapoteza jumla ya 26 yaani point 1 zaidi ya Simba ya msimu uliopita.Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.
Kama Simba angeshinda michezo na mtibwa, polisi, namungo, azam na geita gold basi tayari angekuwa anaongoza ligi kwa matokeo ya yanga yalivyo.
Na Simba misimu aliyochukua ubingwa hizo timu alikuwa anajipigia tu ila sasa hivi kaishia sare.
Wewe hata hesabu ndogo tu zinakushinda ndio ujifanye mjuaji hapa? Simba kufungwa 3 na kudroo tano alipoteza point 19 tu. Hapo yanga alidroo 11 na kufungwa 2 alipoteza point 28.Usiwe unaongea kama unaongea na watoto zako nyumbani kwako Simba msimu uliopita katoa sare 5 na kufungwa game 3. Ina maana mpaka hapo kapoteza point 25. Yanga mpaka sasa ana sare 7 inamaana kapoteza point 14 tu huku ikibakiza michezo 4 pekee. Yanga akifungwa mechi zote 4 atakuwa kapoteza jumla ya 26 yaani point 1 zaidi ya Simba ya msimu uliopita.
Na ili ifikishe point 25 za kupoteza kama ilivyokuwa kwa Simba ibabidi wafungwe mechi tatu na sare moja kwa mechi iliyobakiView attachment 2236478
Nimekosea kwenye sare nimepigia loss. Sawa twende kwa hesabu hiyo hiyo Simba kapoteza alama 19 msimu uliopita, yanga mpaka sasa kapoteza alama 14 kwa msimu huu huku zikibaki mechi nne. Hivyo ili ifike 19 maanake yanga afungwe mwchi moja na kutoa sare au atoe sare mechi tatuWewe hata hesabu ndogo tu zinakushinda ndio ujifanye mjuaji hapa? Simba kufungwa 3 na kudroo tano alipoteza point 19 tu. Hapo yanga alidroo 11 na kufungwa 2 alipoteza point 28.
Sasa msimu huu yanga kwa hizo droo 7 kashapoteza point 14. Hapo tena ukumbuke msimu huu timu zipo chache. Acha ubishi wa kitoto wewe, yanga anabeba kombe kwasababu Simba ni mbovu msimu huu.
Wewe hata hesabu ndogo tu zinakushinda ndio ujifanye mjuaji hapa? Simba kufungwa 3 na kudroo tano alipoteza point 19 tu. Hapo yanga alidroo 11 na kufungwa 2 alipoteza point 28.
Sasa msimu huu yanga kwa hizo droo 7 kashapoteza point 14. Hapo tena ukumbuke msimu huu timu zipo chache. Acha ubishi wa kitoto wewe, yanga anabeba kombe kwasababu Simba ni mbovu msimu huu.
Hahahaaa, sasa kwann msingeshinda?Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.
Kama Simba angeshinda michezo na mtibwa, polisi, namungo, azam na geita gold basi tayari angekuwa anaongoza ligi kwa matokeo ya yanga yalivyo.
Na Simba misimu aliyochukua ubingwa hizo timu alikuwa anajipigia tu ila sasa hivi kaishia sare.
Wachezaji wengi Simba umri umeenda sana, hawawezi kupambana. Kule Caf Simba kabebwa na akina sakho, mugalu na morison. Hawa wote huwa wanajitahidi zaidi kimataifa kuliko home kwasababu wanataka wasajiliwe na timu nyingine. Miquisone alikuwa mpambanaji kotekote na kumpoteza yule kumeicost sana Simba.Ubovu wa simba upo wapi wakati kikosi cha msimu uliopita hayupo mchezaji mmoja pekee? Timu mbovu imefikaje robo fainali ya confederation cup?
Kwani tuliwaambia msajili wazeeWachezaji wengi Simba umri umeenda sana, hawawezi kupambana. Kule Caf Simba kabebwa na akina sakho, mugalu na morison. Hawa wote huwa wanajitahidi zaidi kimataifa kuliko home kwasababu wanataka wasajiliwe na timu nyingine. Miquisone alikuwa mpambanaji kotekote na kumpoteza yule kumeicost sana Simba.
Hamkutuambia.Kwani tuliwaambia msajili wazee
😄😄😄😁😁To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.
Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.
Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote