Simba na Yanga zote mbovu tu, kinachowasaidia sana ni mipango nje ya uwanja

Mpira hauwezi kuutafsiri hivyo. Watford alimfunga man utd 4 lakini kashuka daraja na man utd ni wa sita.
Class is permanent mkuu ila form is temporarily

Ukilielewa hili wala huwezi kuhalalisha eti timu yangu ni mbovu wakati juzi umetoka huko robo fainali na sakho akifungwa magoli ya kwenye kideo ila kwenye ligi anatoa macho tu

Give a piece of appreciation kwa ushindani Wa ligi kuu uliopo sasa tofauti na kipindi cha nyuma
 
Sakho yuko obsessed kupata timu kubwa na ndio maana anafanya vizuri caf lakini home anazingua. Ligi inaongezeka ubora lakini sio kwa kumfanya mnyama asifanikiwe.
 
Kwahiyo Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa vizuri ila alichukua sababu yanga ilikuwa mbovu?
Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.

Kama Simba angeshinda michezo na mtibwa, polisi, namungo, azam na geita gold basi tayari angekuwa anaongoza ligi kwa matokeo ya yanga yalivyo.

Na Simba misimu aliyochukua ubingwa hizo timu alikuwa anajipigia tu ila sasa hivi kaishia sare.
 
Ile michuano endapo ukiipigia hesabu nzuri na ukiwa na wachezaji bora unatoboa ukichanganya na zengwe kidogo ila kwenye ligi ugumu unakuja kwamba ni ndefu hivyo unapaswa kuchanga kalata zako vyema kila mchezo
 
Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.

Kama Simba angeshinda michezo na mtibwa, polisi, namungo, azam na geita gold basi tayari angekuwa anaongoza ligi kwa matokeo ya yanga yalivyo.

Na Simba misimu aliyochukua ubingwa hizo timu alikuwa anajipigia tu ila sasa hivi kaishia sare.
Kwahyo uzembe wa liver ndo umefanya city awe bingwa? Hv nyie watu mna shida gani na mpira wa miguu? Inaonekana kwenu soka ni mchezo mwepesi sana ee? Inabid mkubali ya kwamba ushindi unmambo mawili, jitihada na bahat.. kubalini tuu huu mwaka mambo magum mjipange mwaka ujao.
 
Uwezo wako wa kujenga hoja umenichosha. Tofauti ya point kati ya liva na city utafananisha na hii ya Simba na yanga?
 
Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.

Kama Simba angeshinda michezo na mtibwa, polisi, namungo, azam na geita gold basi tayari angekuwa anaongoza ligi kwa matokeo ya yanga yalivyo.

Na Simba misimu aliyochukua ubingwa hizo timu alikuwa anajipigia tu ila sasa hivi kaishia sare.
Usiwe unaongea kama unaongea na watoto zako nyumbani kwako Simba msimu uliopita katoa sare 5 na kufungwa game 3. Ina maana mpaka hapo kapoteza point 25. Yanga mpaka sasa ana sare 7 inamaana kapoteza point 14 tu huku ikibakiza michezo 4 pekee. Yanga akifungwa mechi zote 4 atakuwa kapoteza jumla ya 26 yaani point 1 zaidi ya Simba ya msimu uliopita.
Na ili ifikishe point 25 za kupoteza kama ilivyokuwa kwa Simba ibabidi wafungwe mechi tatu na sare moja kwa mechi iliyobaki
IMG_20220523_194031.jpg
 
Usiwe unaongea kama unaongea na watoto zako nyumbani kwako Simba msimu uliopita katoa sare 5 na kufungwa game 3. Ina maana mpaka hapo kapoteza point 25. Yanga mpaka sasa ana sare 7 inamaana kapoteza point 14 tu huku ikibakiza michezo 4 pekee. Yanga akifungwa mechi zote 4 atakuwa kapoteza jumla ya 26 yaani point 1 zaidi ya Simba ya msimu uliopita.
Na ili ifikishe point 25 za kupoteza kama ilivyokuwa kwa Simba ibabidi wafungwe mechi tatu na sare moja kwa mechi iliyobakiView attachment 2236478
Wewe hata hesabu ndogo tu zinakushinda ndio ujifanye mjuaji hapa? Simba kufungwa 3 na kudroo tano alipoteza point 19 tu. Hapo yanga alidroo 11 na kufungwa 2 alipoteza point 28.

Sasa msimu huu yanga kwa hizo droo 7 kashapoteza point 14. Hapo tena ukumbuke msimu huu timu zipo chache. Acha ubishi wa kitoto wewe, yanga anabeba kombe kwasababu Simba ni mbovu msimu huu.
 
Nimekosea kwenye sare nimepigia loss. Sawa twende kwa hesabu hiyo hiyo Simba kapoteza alama 19 msimu uliopita, yanga mpaka sasa kapoteza alama 14 kwa msimu huu huku zikibaki mechi nne. Hivyo ili ifike 19 maanake yanga afungwe mwchi moja na kutoa sare au atoe sare mechi tatu
 
Wewe hata hesabu ndogo tu zinakushinda ndio ujifanye mjuaji hapa? Simba kufungwa 3 na kudroo tano alipoteza point 19 tu. Hapo yanga alidroo 11 na kufungwa 2 alipoteza point 28.

Sasa msimu huu yanga kwa hizo droo 7 kashapoteza point 14. Hapo tena ukumbuke msimu huu timu zipo chache. Acha ubishi wa kitoto wewe, yanga anabeba kombe kwasababu Simba ni mbovu msimu huu.

Ubovu wa simba upo wapi wakati kikosi cha msimu uliopita hayupo mchezaji mmoja pekee? Timu mbovu imefikaje robo fainali ya confederation cup?
 
Simba misimu aliyochukua ubingwa hakuwa anatoka sare kama anavyofanya yanga.

Kama Simba angeshinda michezo na mtibwa, polisi, namungo, azam na geita gold basi tayari angekuwa anaongoza ligi kwa matokeo ya yanga yalivyo.

Na Simba misimu aliyochukua ubingwa hizo timu alikuwa anajipigia tu ila sasa hivi kaishia sare.
Hahahaaa, sasa kwann msingeshinda?
 
Ubovu wa simba upo wapi wakati kikosi cha msimu uliopita hayupo mchezaji mmoja pekee? Timu mbovu imefikaje robo fainali ya confederation cup?
Wachezaji wengi Simba umri umeenda sana, hawawezi kupambana. Kule Caf Simba kabebwa na akina sakho, mugalu na morison. Hawa wote huwa wanajitahidi zaidi kimataifa kuliko home kwasababu wanataka wasajiliwe na timu nyingine. Miquisone alikuwa mpambanaji kotekote na kumpoteza yule kumeicost sana Simba.
 
Kwani tuliwaambia msajili wazee
 
Timu nyingi zilizocheza na Simba zilikua zikilalamika juu ya figisu mbalimbali CAF wakawa wanapuuzia Sasa tangu waliposhuhudia kupitia ushahidi wa video vitendo vilivyo fanywa na Simba pale Kwa Madiba tena hadharani CAF walishangaa sana!!
Ujasiri wa Klabu ya Simba kufanya uchawi hadharani imepelekea wao kuiweka Simba katika timu ambazo zikicheza wazitupie jicho la tatu na wameipa jina la JUJU fc.

Kwa ujumla Simba wameziweka klabu zote za soka zitokazo Tanzania katika Hali ya kutoaminika na Nchi kudhraulika.
 
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.

Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.

Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
😄😄😄😁😁
 
Back
Top Bottom