Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.
Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.
Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote