Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Iyo Ya Yanga Na Zanaco Ilikuw Michuano Gani Mkuu?Ukitaka kujua kwamba Yanga ni mbovu fuatilia matokeo ya mechi zao za kimataifa miaka 5 mfululizo hajawahi kushinda mechi hata Moja ya kimataifa
Yanga 0, pyramid 2 (mwz)
Pyramid 3 , Yanga 0(kairo)
Yanga 1 , Zanaco 2(Dar)
Yanga 0 , Rivers 1(Dar)
Rivers 1 , Yanga 0(Lagos)
Yanga 1 ,wasomali1(Dar)
Mwakani tunaenda kushudia aibu nyingine kwa taifa . Utopolo litakuwa jamvi la wageni .
Bongo mpira ni mdomoni tu.To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.
Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.
Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
Historia ya Yanga kwenye CAF championsleague ni aibu tupu!To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.
Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.
Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
Simba isiyokuwa nzuri imecheza robo fainali shirikisho CAF. Hiili linamaana gani?Yanga anachukua ubingwa kwasababu Simba sio nzuri msimu huu. Usajili haukuwa mzuri.
Robo fainali ya CAF CC sio mbali?Ndio maana timu hizi hazifiki mbali
Mpira hauwezi kuutafsiri hivyo. Watford alimfunga man utd 4 lakini kashuka daraja na man utd ni wa sita.Simba isiyokuwa nzuri imecheza robo fainali shirikisho CAF. Hiili linamaana gani?
Hazifiki mbali kivipi unaweza linganisha mafanikio ya simba na yanga kwa maana ya kufika mbali?Simba hawajawahi chukua ubingwa CAF lakini wana record nzuri kuliko Yanga kuwaweka pamoja na Yanga si sahihi,just be neutral u will realize what the truth is.To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.
Mikakati ya yanga nje ya uwanja ni mingi sana na imewazidi mbinu Simba, mbinu za Simba za mwaka jana ndio zimetumiwa na Yanga mwaka huu, we subiri mechi za kimataifa zianze mtaona kama huyo Nabi hakurushiwa makopo ya mkojo uwanjani, sio kocha mzuri kiviiile, anabebwa na mipango mingi ya nje ya uwanja.
Ndio maana timu hizi hazifiki mbali na hazina maendeleo yoyote
Yaani kama nawaona Yanga wakitolewa raundi ya kwanza tu, hawa wapuuzi hawafai kabisa kimataifa, wanatuhaibisha as a country.To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu vyenye makocha waliowahi kuchezea timu hiyo.