Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana

Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana

Mbegu Jr

Senior Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
152
Reaction score
178
Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana. Mmeingia kwenye professionalism lakin bado mnaendeleza ajira za michongo.

Kilicho wafanya msitishe ajira ya Zrane ninini! Kama sio mkelele tu ya nje yaani mgeni aanze tu kuipenda ya jirani alafu mkathibitisha alafu nduki.

Kocha hana tatizo huyo ila uongozi ndio chanzo cha matatizo yenu.

Poleni sana mmeajiri wanabodi wasomi mnaowategemea lakini hawahaminiki maana maamuzi yao hayana msingi wa kujenga timu ila mifuko kwa kutumia akili kutoacha shaka.

Kwa ufupi ni kwamba wachezaji wamesha nenepa wanaenjoy life bila zoezi.

Kocha wa viungo ni mfanyakazi hewa hapo .
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
Sisi wabantu mpaka tuharibu ndio tunaona tatizo
 
Back
Top Bottom