Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

Ikitokea kesho simba hatoingia uwanjani itakua ni mara ya tatu kwa simba kutokomea kusipojulikana pindi akiwa anacheza na yanga.
 
Ikitokea kesho simba hatoingia uwanjani itakua ni mara ya tatu kwa simba kutokomea kusipojulikana pindi akiwa anacheza na yanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mtu anayetumia ubongo na akili kwa pamoja atajadili hoja za msingi za Simba. KWAMBA Simba hoja yao ni nini.

Yanga mligomea mechi kwasababu ya kanuni kuvunjwa.

Kwanini kwa Simba hili hamuongei. Kwanini hamuongei kuhusu madai ya simba kuhusu suala la mdhamini mwenza sheria na kanuni zinasemaje. Na manufaa ya mkataba kwa klabu. Yapo mengi.

Linapokuja swala la maslahi na heshima ya Simba basi timu haitaenda uwanjani.

GSM na Yanga janja janja nyingi.
 
wakiyaondoa hayo mabango ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa kwa timu husika-kama endapo timu zilishirikishwa kwenye mchakato wa udhamini?, Nimetumia neno "kama".
Timu hazikushirikishwa mkuu. Na TFF walishajibu tena kwa Barua kuwa huo mkataba ni wakwao TFF na G*M wengine hauwahusu.

Hakuna adhabu hapo Simba inasubiri maamuzi toka Tume - CMA.

TFF ijiandae kurudisha fedha za G*M au waamue huo ufadhili uende Champions league.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu simba huwaga wana ujanja ujanja wakionaga upepo unawaendea vibaya huwaga wanaanzishaga drama za ajabu.
 
Sawa sawa mkuu,
 
Kuna watu mnadhani kwamba Simba inafanya maamuzi kwa kuhofu Yanga watasema nini.

Kinachoangaliwa hapa ni maslahi ya Simba.Basi!

Weka hata thread elfu moja haziwezi kuathiri chochote. Itabaki kuwa ushabiki tu wa watani wa jadi!
 
Yule babra ameshikiwa akili na mo na ndiye anaempa ushauri wa kipumbavu but ajui kwenye hii vita tff ndo ataibuka mshindi na wakati huo yanga atakuwa ashabeba point zake za bure bila jasho, kwa akili tu ya kawaida ayo mabango yatakuwepo kwenye mechi zote za ligi sasa simba watasusia kucheza ligi kwasababu ya mabango? Na wakisusia ni kitu gani kitawapata,,wanakijua vizuri sana, Viongozi wa simba wameshachungulia wameshaona kabisa mechi aitokuwa upande wao wameamua kuja na sababu watakayowaambia wanachama wao ni Kama kichaka cha kufichia ubovu wa kikosi chao na usajili wa ovyo ovyo walioufanya wanaona ni bora warushe taulo ulingoni
 
Kolo Fc wamekuwa waoga kupita kiasi.
 
Kanuni zinasema kua mdhamini mkuu wa ligi kuu nembo yake itavaliwa kulia kwa mabega ya jezi za timu zinazoshiriki katika ligi

Kanuni hazizungumzii chochote kuhusiana na mdhamini mwenza.

Ndio maana Yanga na TFF waka negotiatie kwa kua kanuni haiongei chochote.

Kuhusiana na kanuni ya mechi kubadilishwa muda ndani ya masaa 24 kanuni imezingumzia vizuri bwashee kua ratiba ya mechi inatakiwa ibadilishwe kabla ya masaa 72 mechi kuchezwa.
 
Hutakiwi kuonyesha ujinga wako kwenye mambo madogo madogo kama haya Ndugu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulieni dawa iwaingie, Washauri wajomba zako waache kusani mikataba kihuni.. Unamaliza kusahini unawapiga watu mkwara eti hawaruhusiwi kuhoji, Mwisho wa siku unawaletea nembo na matangazo wakati ulishasema mlataba hawahusu ni wa Tff na Gsm

Ngoja CEO bora afrika awanyooshe
 
Hizi ndio akili halisi za utopolo. Mtu anaandika upuuzi mtupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walioanzisha chokochoko ni hao waliofosi nembo zianze kutumika kwenye mechi ya Derby..

Ipo wazi TFF na GSM wameingia mkataba wa kihuni

TAKUKURU waingie kuchunguza huu mkataba
 
Mbona simpo tu. Mdhamini mwenza anabaki ktk mabango sio logo ktk jezi. Hata msimu uliopita KCB walikuwa wadhamini wenza hukuona logo ktk jezi ya timu yoyote zaidi ya mabango uwanjani na ktk press za tff. Hiyo ndio kanuni inasema hivyo. Hii ya GSM hao tff wametumia kanuni gani ndio Simba wanachohoji wanataka clarification tu. BASI HAKUNA LINGINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…