NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Ikitokea kesho simba hatoingia uwanjani itakua ni mara ya tatu kwa simba kutokomea kusipojulikana pindi akiwa anacheza na yanga.Simba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la tff waliloliandaa ilikuwepo nembo ya gsm, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya gsm uwanjani wataingiza timu uwanjani au awatoingiza timu? Na wasipoingiza timu kitakachofuata ni kipi, ni mechi kurudiwa kuchezwa siku nyingine au yanga kupewa point zake 3 na magoli 2? Na Kama tff ikisema mechi irudiwe je yanga wazee wa msimamo ulionyooka watakubali? Huu ni mtego mzito Sana kwa tff