Ushabiki gani huo wa kuitana nyani? unajisikia aje kumuita mwezako nyanjWe nyani (kwa hisan ya Eymael) mbona haujahoji kwanini TFF wasubiri mechi dhidi UTOPWIII ndio wawape SIMBA taarifa kuwa inabidi jezi zao waweke chapa ya GSM.
kwa sababu gani wawaimbie wakati huu wakati mkataba umesainawa siku nyingi zilizopita?
Ikiwa mkataba haujui uauitikiaje..? Karne ya 21 unaendeshwa km kina chief mangungo ile mikataba yao ambayo hawakujua kilichoandikwa.. simba wapo sahihi mkataba usio ujua huwezi kuitika hujashirikishwa hivyo haukuhusu. Wako sahihi tatizo tunaleta huruma kwenye kanuni.Simba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la TFF waliloliandaa ilikuwepo nembo ya GSM, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya GSM uwanjani wataingiza timu uwanjani au hawatoingiza timu?
Na wasipoingiza timu kitakachofuata ni kipi, ni mechi kurudiwa kuchezwa siku nyingine au Yanga kupewa point zake 3 na magoli 2? Na Kama TFF ikisema mechi irudiwe. Je, Yanga wazee wa msimamo ulionyooka watakubali? Huu ni mtego mzito Sana kwa TFF
===========
View attachment 2039393
Kabla hata ya GSM hii mechi mikia walikuwa hawaitaki kabisa, gsm imekuwa imedieti kozi tuSimba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la TFF waliloliandaa ilikuwepo nembo ya GSM, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya GSM uwanjani wataingiza timu uwanjani au hawatoingiza timu?
Na wasipoingiza timu kitakachofuata ni kipi, ni mechi kurudiwa kuchezwa siku nyingine au Yanga kupewa point zake 3 na magoli 2? Na Kama TFF ikisema mechi irudiwe. Je, Yanga wazee wa msimamo ulionyooka watakubali? Huu ni mtego mzito Sana kwa TFF
===========
View attachment 2039393
Sasa hapo kampuni ya GSM wana makosa gani? Kosa ni la kampuni ya GSM au TFF? Ni vyema mjadala ukajikita hapo vinginevyo ni upotoshajiBinafsi simba hajakataa ila inatakiwa hao GSM wafate utaratibu full stop sio wanafanya mambo kama hili taifa ni mali yao
Kwani mkataba wa TFF na Benki ya NBS,TFF na TBC ,TFF na Azam media ,Simba au timu yoyote ilishirikishwa? Je Ni kanuni ipi inayowataka kila mkataba wanaoingia TFF na Taasisi fulani kuvishirikisha vilabu? Acheni uzwazwa ,peleka timu uwanjani na kumbuka viwanja vyote vya mpira wa miguu nchini kutakuwa na mabango ya GSM labla Simba ajitoe kushiriki ligi kuu ya NBCTulieni dawa iwaingie, Washauri wajomba zako waache kusani mikataba kihuni.. Unamaliza kusahini unawapiga watu mkwara eti hawaruhusiwi kuhoji, Mwisho wa siku unawaletea nembo na matangazo wakati ulishasema mlataba hawahusu ni wa Tff na Gsm
Ngoja CEO bora afrika awanyooshe
Mwambie Mo nae aweke hela mwanzoni si mlikuwa mnadai Mo ana hela sana mwambieni na mshaurini nae adhamini ligi aweke hela zaidi ya GSMLET IT BE TENA WATUSHUSHE DARAJA HARAKA SANA NASEMA HARAKA MNOOOOO, UACHE BILLION MOJA YA FRED VUNJA BEI UKAVAE TAKATAKA YA KUKUPA MILIONI 60 KWA MWAKA KISA KUNA WATU WAMEPEWA CHA JUU KINYUME NA SHERIA
Tulikimbia? Mbona tuliwaweka tarehe mliyoamua wenyewe na baba yenu tff? Sisi tuliingiza saa 11 km tulivyokubaliana hamkutokea sasa hapo nani alikimbia?Kipindi kile yanga ilikuwa vibaya..ikapata upenyo ikakimbia mechi..
Zamu yetu Sasa..Simba ipo vibaya na sisi tumepata upenyo..tunakimbia kesho..
Busara itatumika..usifikiri..Kuna mwenye uwezo wa kushusha daraja Simba au yanga..
Ni sheria gani inawataka TFF kuvishirikisha vilabu katika mikataba yake na Taasisi fulani? Vp Simba au kilabu chochote Cha bongo kilishirikishwa kwenye mkataba wa TFF na benki ya NBC,Azam Media au TBC?unawezaje kuhoji mkataba wa TFF na kampuni ya GSM kwa sheria ipi?Sakata hili limeweka wazi roho mbaya aliyonayo Mo na Co wametawaliwa na ubinafsi na umimiIkiwa mkataba haujui uauitikiaje..? Karne ya 21 unaendeshwa km kina chief mangungo ile mikataba yao ambayo hawakujua kilichoandikwa.. simba wapo sahihi mkataba usio ujua huwezi kuitika hujashirikishwa hivyo haukuhusu. Wako sahihi tatizo tunaleta huruma kwenye kanuni.
Kama wewe ulivyofanya msimu uliopita nje ndaniIkitokea kesho simba hatoingia uwanjani itakua ni mara ya tatu kwa simba kutokomea kusipojulikana pindi akiwa anacheza na yanga.
Kweli kabisa kama asemavyo yule msukule pale wenye akili ni mzee manara na mzee kikwete waliobakia wote ukiwa na wewe ni ziro kabisaSimba hawajawahi kuwa na akili kabisa
Hapa ndipo tunaona tofauti ya msimamizi wa mali na tajiri.
Yaani humu JF kuna watu ni vilaza na vilaza wenzao wanawapongeza kabisa!.Kimataifa Gsm afate nini wewe uto?
Pole kwa ukilaza.Sasa wasipocheza kesho na mechi za kimataifa pia watasusia kwa mkapa kisa mabango ya GSM!
Viongozi wa Simba waache upuuzi, wamesajili vibaya wanajua kesho wataaibika wanawaangushia TFF jumba bovu kwa sababu za kitoto kabisa, kama ni changamoto za kimkataba kwanini msubiri game ya Yanga ndiyo muanze figisu!
TFF msiyumbishwe, wakigomea mchezo kesho fuateni taratibu zote za kimpira wapeni wapinzani wao point 3 na adhabu kali kwa Simba iwe funzo.