Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

We nyani (kwa hisan ya Eymael) mbona haujahoji kwanini TFF wasubiri mechi dhidi UTOPWIII ndio wawape SIMBA taarifa kuwa inabidi jezi zao waweke chapa ya GSM.

kwa sababu gani wawaimbie wakati huu wakati mkataba umesainawa siku nyingi zilizopita?
Ushabiki gani huo wa kuitana nyani? unajisikia aje kumuita mwezako nyanj
 
Simba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la TFF waliloliandaa ilikuwepo nembo ya GSM, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya GSM uwanjani wataingiza timu uwanjani au hawatoingiza timu?

Na wasipoingiza timu kitakachofuata ni kipi, ni mechi kurudiwa kuchezwa siku nyingine au Yanga kupewa point zake 3 na magoli 2? Na Kama TFF ikisema mechi irudiwe. Je, Yanga wazee wa msimamo ulionyooka watakubali? Huu ni mtego mzito Sana kwa TFF

===========

View attachment 2039393
Ikiwa mkataba haujui uauitikiaje..? Karne ya 21 unaendeshwa km kina chief mangungo ile mikataba yao ambayo hawakujua kilichoandikwa.. simba wapo sahihi mkataba usio ujua huwezi kuitika hujashirikishwa hivyo haukuhusu. Wako sahihi tatizo tunaleta huruma kwenye kanuni.
 
Kabla hata ya GSM hii mechi mikia walikuwa hawaitaki kabisa, gsm imekuwa imedieti kozi tu
 
Binafsi simba hajakataa ila inatakiwa hao GSM wafate utaratibu full stop sio wanafanya mambo kama hili taifa ni mali yao
Sasa hapo kampuni ya GSM wana makosa gani? Kosa ni la kampuni ya GSM au TFF? Ni vyema mjadala ukajikita hapo vinginevyo ni upotoshaji
 
Tulieni dawa iwaingie, Washauri wajomba zako waache kusani mikataba kihuni.. Unamaliza kusahini unawapiga watu mkwara eti hawaruhusiwi kuhoji, Mwisho wa siku unawaletea nembo na matangazo wakati ulishasema mlataba hawahusu ni wa Tff na Gsm

Ngoja CEO bora afrika awanyooshe
Kwani mkataba wa TFF na Benki ya NBS,TFF na TBC ,TFF na Azam media ,Simba au timu yoyote ilishirikishwa? Je Ni kanuni ipi inayowataka kila mkataba wanaoingia TFF na Taasisi fulani kuvishirikisha vilabu? Acheni uzwazwa ,peleka timu uwanjani na kumbuka viwanja vyote vya mpira wa miguu nchini kutakuwa na mabango ya GSM labla Simba ajitoe kushiriki ligi kuu ya NBC
 
LET IT BE TENA WATUSHUSHE DARAJA HARAKA SANA NASEMA HARAKA MNOOOOO, UACHE BILLION MOJA YA FRED VUNJA BEI UKAVAE TAKATAKA YA KUKUPA MILIONI 60 KWA MWAKA KISA KUNA WATU WAMEPEWA CHA JUU KINYUME NA SHERIA
 
Mwambie Mo nae aweke hela mwanzoni si mlikuwa mnadai Mo ana hela sana mwambieni na mshaurini nae adhamini ligi aweke hela zaidi ya GSM
 
Kipindi kile yanga ilikuwa vibaya..ikapata upenyo ikakimbia mechi..
Zamu yetu Sasa..Simba ipo vibaya na sisi tumepata upenyo..tunakimbia kesho..
Busara itatumika..usifikiri..Kuna mwenye uwezo wa kushusha daraja Simba au yanga..
Tulikimbia? Mbona tuliwaweka tarehe mliyoamua wenyewe na baba yenu tff? Sisi tuliingiza saa 11 km tulivyokubaliana hamkutokea sasa hapo nani alikimbia?
 
Kwanini TFF kila ikifika Derby ya Simba na Yanga wanafanya upuuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo TFF hawafati kanuni
 
Ikiwa mkataba haujui uauitikiaje..? Karne ya 21 unaendeshwa km kina chief mangungo ile mikataba yao ambayo hawakujua kilichoandikwa.. simba wapo sahihi mkataba usio ujua huwezi kuitika hujashirikishwa hivyo haukuhusu. Wako sahihi tatizo tunaleta huruma kwenye kanuni.
Ni sheria gani inawataka TFF kuvishirikisha vilabu katika mikataba yake na Taasisi fulani? Vp Simba au kilabu chochote Cha bongo kilishirikishwa kwenye mkataba wa TFF na benki ya NBC,Azam Media au TBC?unawezaje kuhoji mkataba wa TFF na kampuni ya GSM kwa sheria ipi?Sakata hili limeweka wazi roho mbaya aliyonayo Mo na Co wametawaliwa na ubinafsi na umimi
 
GSM wameona Yanga haiwapeleki kokote , wameamua Simba iwatangaze kwa dau dogo na la kipekee kupitia TFF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums292357103.jpg
 
SIMBA ni kichwa cha mwendawazimu......wanaoiga ngoma ambayo hawawezi kuicheza
 
Hii nchi ukiondoa Simba basi na mpira umekufa ..
 
Simba hawajawahi kuwa na akili kabisa
Hapa ndipo tunaona tofauti ya msimamizi wa mali na tajiri.
 
Ikitokea kesho simba hatoingia uwanjani itakua ni mara ya tatu kwa simba kutokomea kusipojulikana pindi akiwa anacheza na yanga.
Kama wewe ulivyofanya msimu uliopita nje ndani
 
Simba hawajawahi kuwa na akili kabisa
Hapa ndipo tunaona tofauti ya msimamizi wa mali na tajiri.
Kweli kabisa kama asemavyo yule msukule pale wenye akili ni mzee manara na mzee kikwete waliobakia wote ukiwa na wewe ni ziro kabisa
 
Sasa wasipocheza kesho na mechi za kimataifa pia watasusia kwa mkapa kisa mabango ya GSM!

Viongozi wa Simba waache upuuzi, wamesajili vibaya wanajua kesho wataaibika wanawaangushia TFF jumba bovu kwa sababu za kitoto kabisa, kama ni changamoto za kimkataba kwanini msubiri game ya Yanga ndiyo muanze figisu!

TFF msiyumbishwe, wakigomea mchezo kesho fuateni taratibu zote za kimpira wapeni wapinzani wao point 3 na adhabu kali kwa Simba iwe funzo.
Pole kwa ukilaza.
 
Back
Top Bottom