Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

Haya kawajibu wanzeji huko maana mabango huku yashayolewa na CAF kaingilia kati ili ujue watu wapo mbele kdgo wamesha waacha utopolo
 
Sasa hapo kampuni ya GSM wana makosa gani? Kosa ni la kampuni ya GSM au TFF? Ni vyema mjadala ukajikita hapo vinginevyo ni upotoshaji
Kesho hutaona bango la GSM na hii inadhihilisha kwel hawa GSM kua na makandokando mengi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu teseka na jua tu, makasiriko kwa wanaume usiowajua hayafai.
Mimi tena na makasiriko sio wewe ulietaka nipigwe ban au kichwani kuna nati zimelegea kidogo mkuu
 
[emoji2] [emoji2] Kimataifa nako yupo GSM? Kuwa shabiki wa Yanga ni kipaji.
 
Sasa mbona ata mabango ya uwanjani nayo amyataki mna matatizo gani nyie watu? Kama mnataka kuikimbia mechi mseme sio mnaibuka na sababu za ovyo ovyo kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…