Simba nawasifu kwa kujua kutunza siri

Simba nawasifu kwa kujua kutunza siri

Kati ya Zoran na Simba nani alimtema mwenzake? Kuwa muwazi maana Simba walipoona taarifa ya Zoran kupata timu itatoka wakaona wao watangulie Ili ionekane katemwa.

Kuhusu Mgunda walikua kwenye mkanganyiko namna ya kutoa taarifa lakini licha ya kutoa taarifa pia mkanganyiko unaendelea
 
Mgunda tulipata habari zake akiwa airport hakuna cha gazeti wala wacha mbuzi uchwara waliojua kinachoendelea.

Zoran pia ilikuwa ni suprise ya hatari kuwa katemwa.

Yule mzungu pori ndio alikuwa akivujisha siri za chumbani
Hamna Siri yoyote. Watu walishajua kitambo Zoran anafukuzwa. Kaangalie kipindi cha uchambuzi wa habari za magazeti ya michezo pale Azam Sport1 HD tarehe 03/09/2022 halafu urudi uone uharo wako.
 
Kati ya Zoran na Simba nani alimtema mwenzake? Kuwa muwazi maana Simba walipoona taarifa ya Zoran kupata timu itatoka wakaona wao watangulie Ili ionekane katemwa.

Kuhusu Mgunda walikua kwenye mkanganyiko namna ya kutoa taarifa lakini licha ya kutoa taarifa pia mkanganyiko unaendelea
Mgunda kuna mkanganyiko upi
 
Mgunda tulipata habari zake akiwa airport hakuna cha gazeti wala wacha mbuzi uchwara waliojua kinachoendelea.

Zoran pia ilikuwa ni suprise ya hatari kuwa katemwa.

Yule mzungu pori ndio alikuwa akivujisha siri za chumbani
Kwahiyo mnapata manufaa gani Kwa kuitunza Siri zisizo na manufaa Wala athari hata kama zikivuja. Mbumbumbu kolo
 
Attachments

  • Prie.jpg
    Prie.jpg
    63.7 KB · Views: 5
  • Sscme.jpg
    Sscme.jpg
    63.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom