Simba ndio timu pekee msimu huu kwenye ligi yenye uwezo wa kushinda goli tano(5).

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Hadi sasa hivi "SIMBA" ndio timu pekee iliyompiga mtu 5g sio uto wala matawi yake.

Mechi ya 14 hii uto wanajaribu kuivunja rekodi ya simba wanashindwa wanaishia kujinyea tu uwanjani.

Wameshinda lakini hawana furaha kwasababu ushindi wao haujawasaidia chochote coz wameendelea kubakia kwenye nafasi yao ya mwisho huko na kina kengold sisi tupo juu tunapulizwa na baridi.

"SIMBA BINGWA"

"UBAYA UBWELA"
 
Utahaira ni mzigo mkubwa sana vichwani mwa mbumbumbu,,unaokoteza vihoja vya kijinga kijinga ambavyo avina ata maana,,ukitaka Kila mtu alete ivyo vihoja uchwara basi tuambie mchezaji Gani kafunga hat trick ligi kuu mpaka sasa?
 
Naomba niwe wa kwanza kuthibitisha na ikitokea ndivyo sivyo basi nipigwe ban ya wiki tatu. " simba akimaliza kileleni mbele ya yanga mzunguko wa kwanza basi nipigwe ban wiki tatu net namaanisha yanga awe amecheza 15 match na simba vile vile." ahsanteni YANGA BINGWA
 
IMG-20241222-WA0006.jpg
 
Utahaira ni mzigo mkubwa sana vichwani mwa mbumbumbu,,unaokoteza vihoja vya kijinga kijinga ambavyo avina ata maana,,ukitaka Kila mtu alete ivyo vihoja uchwara basi tuambie mchezaji Gani kafunga hat trick ligi kuu mpaka sasa?
Hat trick inakusaidia nini kama hauongozi ligi
 
Naomba niwe wa kwanza kuthibitisha na ikitokea ndivyo sivyo basi nipigwe ban ya wiki tatu. " simba akimaliza kileleni mbele ya yanga mzunguko wa kwanza basi nipigwe ban wiki tatu net namaanisha yanga awe amecheza 15 match na simba vile vile." ahsanteni YANGA BINGWA
Naomba niitunze hii komenti yako usijekuikana we utopololo.
 
Hakuna wa kutuzuia sio Tanzania hata afrika tumewapiga waarabu weusi wa tanzania tumewapiga waarabu weupe.

"SIMBA BINGWA HUTAKI KUFA"
 
Hat trick inakusaidia nini kama hauongozi ligi
Ungekuwa unaongoza ligi ata kwa tofauti ya point 4 ungekuwa na cha kutambia but tofauti ya point 1 unapiga domo? Ulikuwa unaongoza kwa tofauti ya magoli ya kufunga 24 kwa 13 ya yanga,,sasa Leo imebaki goal difference ya 21 kwa 25 ulitegemea icho kitokee? Basi ata iyo point Moja uliyonayo ni suala la muda tu utakalishwa siku sio nyingi!
 
Awali nilikuwa nikisikia tambo nyingi za mashabiki wa Simba na masikitiko kibao ya mashabiki wa Yanga mitaani nikafikiri basi wanaachana Kwa tofauti ya points hata 10 hivi, juzikati nauona msimamo wa ligi nashangaa wanazidiana point moja! Nadhani mpaka leo bado ni hivyo.

Mpira wa nchi hii una maajabu mengi, mojawapo ni akili za mashabiki.
 
Hadi sasa hivi "SIMBA" ndio timu pekee iliyompiga mtu 5g sio uto wala matawi yake.

Mechi ya 14 hii uto wanajaribu kuivunja rekodi ya simba wanashindwa wanaishia kujinyea tu uwanjani.

Wameshinda lakini hawana furaha kwasababu ushindi wao haujawasaidia chochote coz wameendelea kubakia kwenye nafasi yao ya mwisho huko na kina kengold sisi tupo juu tunapulizwa na baridi.

"SIMBA BINGWA"

"UBAYA UBWELA"
Screenshot mapema huo msimamo baada ya wiki utalia na kusaga meno kwa kile hutaamini wala kutaka kuambiwa
 
Back
Top Bottom