gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
- Thread starter
- #21
Sio kwa simba hii, wewe mpira haujui ila umekariri kwakuwa yanga alikuwa bingwa msimu uliopita basi atakuwa bingwa tena msimu huu bila hata kuangalia ubora wa simba.Ungekuwa unaongoza ligi ata kwa tofauti ya point 4 ungekuwa na cha kutambia but tofauti ya point 1 unapiga domo? Ulikuwa unaongoza kwa tofauti ya magoli ya kufunga 24 kwa 13 ya yanga,,sasa Leo imebaki goal difference ya 21 kwa 25 ulitegemea icho kitokee? Basi ata iyo point Moja uliyonayo ni suala la muda tu utakalishwa siku sio nyingi!
Mjomba simba hii ni bora kuliko simba ya misimu 3 iliyopita kwahyo usikariri utaumia.