Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo Kolo aliyeanzisha Uzi tunamsubilia na rekodi zake nyingine azilete sio auangalie Uzi wake utadhani anamuangalia mama mkwe!Kolo kila mkitaka kuweka virekodi vyenu uchwara Yanga anavifutilia mbali!
Taarabu jaz bandHakuna wa kutuzuia sio Tanzania hata afrika tumewapiga waarabu weusi wa tanzania tumewapiga waarabu weupe.
"SIMBA BINGWA HUTAKI KUFA"
Sasa mbona hamueleweki leo hii mnabadili maneno hayo ya kutoa goli ulizoruhusu kwa ulizoshinda yametoka wapi tena, mbona kwenye zile 5-1 hamkusema kwamba ni sawa na 4-0 maana nanyi mlichafua ubao badala yake mlikomaa kwamba ni mkono, yani mashabiki wa utopolo sijui huwa mnafikiria kwa kutumia kiungo gani asee maana nina uhakika hakiwezi kuwa ubongoMaelezo ni kwamba wao walishinda 5 lakini wakaruhusu 2,,kwa maana iyo ukitoa 2 walizoruhusu unabaki na 3, lakini wenzao wamemkanda mtu 5 bila kudaiwa chochote!🖐️🖐️🖐️🖐️
Mbona unahamishia tena magoli upande mwingine wa uwanja! Si tulikubaliana ni timu ya simba pekee ndiyo yenye uwezo wa kushinda goli 5 msimu huu!!!KIMATAIFA UMECHEMKA HUKO UNARUKA RUKA TU.T
Hata ukishinda 100 bila zinakusaidia nini ligi naongoza na kwenye msimamo wa CAF naongoza, mechi 3 una pointi moja hii ni aibu kwa taifa.Mbona unahamishia tena magoli upande mwingine wa uwanja! Si tulikubaliana ni timu ya simba pekee ndiyo yenye uwezo wa kushinda goli 5 msimu huu!!!
Taarabu jaz bandView attachment 3188453