Utahaira ni mzigo mkubwa sana vichwani mwa mbumbumbu,,unaokoteza vihoja vya kijinga kijinga ambavyo avina ata maana,,ukitaka Kila mtu alete ivyo vihoja uchwara basi tuambie mchezaji Gani kafunga hat trick ligi kuu mpaka sasa?Hadi sasa hivi "SIMBA" ndio timu pekee iliyompiga mtu 5g sio uto wala matawi yake.
Mechi ya 14 hii uto wanajaribu kuivunja rekodi ya simba wanashindwa wanaishia kujinyea tu uwanjani.
Wameshinda lakini hawana furaha kwasababu ushindi wao haujawasaidia chochote coz wameendelea kubakia kwenye nafasi yao ya mwisho huko na kina kengold sisi tupo juu tunapulizwa na baridi.
"SIMBA BINGWA"
"UBAYA UBWELA"
Hat trick inakusaidia nini kama hauongozi ligiUtahaira ni mzigo mkubwa sana vichwani mwa mbumbumbu,,unaokoteza vihoja vya kijinga kijinga ambavyo avina ata maana,,ukitaka Kila mtu alete ivyo vihoja uchwara basi tuambie mchezaji Gani kafunga hat trick ligi kuu mpaka sasa?
Naomba niitunze hii komenti yako usijekuikana we utopololo.Naomba niwe wa kwanza kuthibitisha na ikitokea ndivyo sivyo basi nipigwe ban ya wiki tatu. " simba akimaliza kileleni mbele ya yanga mzunguko wa kwanza basi nipigwe ban wiki tatu net namaanisha yanga awe amecheza 15 match na simba vile vile." ahsanteni YANGA BINGWA
Ungekuwa unaongoza ligi ata kwa tofauti ya point 4 ungekuwa na cha kutambia but tofauti ya point 1 unapiga domo? Ulikuwa unaongoza kwa tofauti ya magoli ya kufunga 24 kwa 13 ya yanga,,sasa Leo imebaki goal difference ya 21 kwa 25 ulitegemea icho kitokee? Basi ata iyo point Moja uliyonayo ni suala la muda tu utakalishwa siku sio nyingi!Hat trick inakusaidia nini kama hauongozi ligi
Screenshot mapema huo msimamo baada ya wiki utalia na kusaga meno kwa kile hutaamini wala kutaka kuambiwaHadi sasa hivi "SIMBA" ndio timu pekee iliyompiga mtu 5g sio uto wala matawi yake.
Mechi ya 14 hii uto wanajaribu kuivunja rekodi ya simba wanashindwa wanaishia kujinyea tu uwanjani.
Wameshinda lakini hawana furaha kwasababu ushindi wao haujawasaidia chochote coz wameendelea kubakia kwenye nafasi yao ya mwisho huko na kina kengold sisi tupo juu tunapulizwa na baridi.
"SIMBA BINGWA"
"UBAYA UBWELA"