Simba ndio timu pekee msimu huu kwenye ligi yenye uwezo wa kushinda goli tano(5).

Sio kwa simba hii, wewe mpira haujui ila umekariri kwakuwa yanga alikuwa bingwa msimu uliopita basi atakuwa bingwa tena msimu huu bila hata kuangalia ubora wa simba.

Mjomba simba hii ni bora kuliko simba ya misimu 3 iliyopita kwahyo usikariri utaumia.
 
Wacha tusubilie huo ubingwa mtaobeba si tupo hapa,,bado amjawa na timu ya ubingwa na kama unabisha kawaulize wenzako wanaojielewa watakwambia,,kwa namna timu yako inavyocheza pigeni sana maombi
 
Sasa Ili hizo 5 zinoge zaidi inabidi muipige na Yanga 5 kama vile nyinyi mlivyo pigwa 5 msimu uliyopita
 
Simba hii haija cheza na Yanga msimu huu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Rage aliona mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…