Simba ndio timu pekee msimu huu kwenye ligi yenye uwezo wa kushinda goli tano(5).

Kolo kila mkitaka kuweka virekodi vyenu uchwara Yanga anavifutilia mbali!
 
Kolo kila mkitaka kuweka virekodi vyenu uchwara Yanga anavifutilia mbali!
Uyo Kolo aliyeanzisha Uzi tunamsubilia na rekodi zake nyingine azilete sio auangalie Uzi wake utadhani anamuangalia mama mkwe!
 
Maelezo ni kwamba wao walishinda 5 lakini wakaruhusu 2,,kwa maana iyo ukitoa 2 walizoruhusu unabaki na 3, lakini wenzao wamemkanda mtu 5 bila kudaiwa chochote!๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ
Sasa mbona hamueleweki leo hii mnabadili maneno hayo ya kutoa goli ulizoruhusu kwa ulizoshinda yametoka wapi tena, mbona kwenye zile 5-1 hamkusema kwamba ni sawa na 4-0 maana nanyi mlichafua ubao badala yake mlikomaa kwamba ni mkono, yani mashabiki wa utopolo sijui huwa mnafikiria kwa kutumia kiungo gani asee maana nina uhakika hakiwezi kuwa ubongo
 
KIMATAIFA UMECHEMKA HUKO UNARUKA RUKA TU.T
Mbona unahamishia tena magoli upande mwingine wa uwanja! Si tulikubaliana ni timu ya simba pekee ndiyo yenye uwezo wa kushinda goli 5 msimu huu!!!
 
Mbona unahamishia tena magoli upande mwingine wa uwanja! Si tulikubaliana ni timu ya simba pekee ndiyo yenye uwezo wa kushinda goli 5 msimu huu!!!
Hata ukishinda 100 bila zinakusaidia nini ligi naongoza na kwenye msimamo wa CAF naongoza, mechi 3 una pointi moja hii ni aibu kwa taifa.

"SIMBA BINGWA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ