Simba ndiyo wamefanya Dejan Thamani yake iwe milioni 700?

Simba ndiyo wamefanya Dejan Thamani yake iwe milioni 700?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za kitanzania milioni 700 hadi bilioni moja na milioni mia nne.

Kwanza nilishangaa imekuwaje mchezaji aliyeonekana hana kiwango kikubwa hapa Tanzania, awe na thamani hiyo. Au kuchezea Simba kumemfanya Dejan awe na thamani kubwa kama hiyo?

1680459057530.jpeg

 
Back
Top Bottom