Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na tumemfunga 2 au ulitaka kusemaje hapoMlitegemea kumfunga al ahly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tumemfunga 2 au ulitaka kusemaje hapoMlitegemea kumfunga al ahly
Zisipofika hizo 5Mechi bado haijaisha, Simba kutandikwa tano pale Cairo halitakua jambo jipya.
Mbaya zaidi mwekezaji wenu mlipo pata goli akawa anajipiga kifuani mbele ya Rais wa Ahly, yaani alikua ana mtambia.
Sasa kile kitengo kinaweza kikasababisha mtandikwe ata zaidi ya tano pale Cairo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Haswaa, maana inaharibu ufahamuBangi sio nzuri.
Tunasubiri zamu yao.Haswaa, maana inaharibu ufahamu
Na watakandwa balaaTunasubiri zamu yao.
Wanajifanya kucheka Mamba kabla hawajavuka mto..🤣Na watakandwa balaa
Hamsa ziko Cairo,uliona wapi Al Ahaly akamkanda mtu hamsa ugenini?Zile Hamsa mliyosema tunafungwa zipo wapi?
Kwa hiyo na ihefu uchwai wao wametoka wapi!? Rais mwenyewe wa FIFA katumia muda kujifunza kauli mbiu ya Nguvu moja...Tumepishana mbele ya uongozi wote Africa na dunia Simba ni timu kubwa duniani...na tukienda kule ni kamoja Ka haja...Uliyaona hayo matunguri? Imani potofu zimejaa kwenye mafuvu yenu, kipi cha ajabu? Yaani wao kukosa goli wamelogwa?
Ujinga mtupu, football imechezwa vizuri kwa ufundi.
Masikini nyumamwiko mumeshasahau kuwa na nyie wanawasubiria kwenye makundi. Bora ukose mali lakini upate akiliNilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha!
Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada ya dk 90 wimbo umebadilika umekuwa ule ule wa miaka yote waliyozoea kuuimba wa "TUMEKUFA KIUME"
Tokea nizaliwe sijawai kuliona ilo kombe la Kufa KIUME. Leo Mwakarobo Mganga wao alichowasaidia ni kupunguza idadi ya MAGOLI, kitendo Cha Aly Ahly kukosa zile nafasi 3 za wazi kwa macho ya kawaida unaweza ukadhani ni bahati mbaya lakini Ile ilikuwa ni kazi ya sangoma!
Ahly Ahly ilikuwa wambutue mtu goli 5 Leo but Mganga kaepusha aibu kubwa Leo. Na zile zilizokoswa wangekuwa kwao MISRI zilikuwa ni kamba kwa kuwa siku zote uchawi aupandi ndege ndio maana tulikuwa tunashuhudia sana zile goli tano tano kipindi kile!
Ndani ya mechi 8 ukuta wa yeriko umeruhusu kamba 9 kuchana nyavu zake, ndio maana tunasema safu Bora ya ulinzi itakupa makombe na safu Bora ya ushambuliaji itakupa magoli tu!
Mwakarobo najua mtakuja na mapovu kama yote lakini ayanibabaishi nawapa vidonge vyenu mkipenda mvimeze mkipenda mvitapike, timu yenu Ina shida kubwa kwenye eneo la kiungo mkabaji, uyo Ngoma mliyeenda sijui kumuiba uwanja wa ndege kwa mujibu wa msemaji wenu anaweza kutamba kwenye mechi za wakina JKT Tanzania na sio mechi kubwa za kimataifa, mechi za kimataifa utamuona Kama timu inamiliki mpira lakini Kama timu inapekekewa moto ni sawa na yale mapazia ya buku buku yanoyouzwa mnadani!
Sasa keshokutwa mnakwenda Misri kukamilisha ratiba yenu kwakuwa kule akuna kuvunja Nazi Wala kuchoma uwanja uwezo wenu halisi unakwenda kuonekana mjipange na Ligi kuu na makundi ya klabu bingwa!
MAPOVU YA OMO NA KLEESOFT YANARUHUSIWA KWA WAFUASI WA MBUMBUMBU!
Usiwe unafananisha kichuguu na mlima Babu, Kaa kwa kutulia usubilie iyo timu iliyokutoa kamasi itapokutana na wanaume yanga, najua ili kenge ajue amejuruiwa ni mpaka aone damu, mtafurahishwa siku sio nyingi!Masikini nyumamwiko mumeshasahau kuwa na nyie wanawasubiria kwenye makundi. Bora ukose mali lakini upate akili View attachment 2787633
Uliyaona hayo matunguri? Imani potofu zimejaa kwenye mafuvu yenu, kipi cha ajabu? Yaani wao kukosa goli
NSafari hii tunaenda na vyungu...wao si walibeba mapipa
Wewe kakune nazi tu umpikie mumeo ugaliUsiwe unafananisha kichuguu na mlima Babu, Kaa kwa kutulia usubilie iyo timu iliyokutoa kamasi itapokutana na wanaume yanga, najua ili kenge ajue amejuruiwa ni mpaka aone damu, mtafurahishwa siku sio nyingi!
Uzuri mko nao kundi moja tutaona jamani