Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kikosi cha 1.5B bado kinatafuta goli la kufutia chozi shamba la bibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mashabiki na muwe wengi tu MADERA yenu, Yanga ndio ina vikombe vingi.Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.[emoji119](Data zipo)_[emoji118]
Mimi hapa ni Simba damu, lakini lazima nikiri kuwa Mtibwa ni nomaDuu ngoja niendelee kuomba ili mtibwa tushinde hii mechi. Naipenda sana timu yangu ya Mtibwa!!
Dakika ya ngapi na matokeo mpaka sasa yakoje?Kikosi cha 1.5B bado kinatafuta goli la kufutia chozi shamba la bibi
mpira umeisha wamechomoaDakika ya ngapi na matokeo mpaka sasa yakoje?
Sisi tulijipanga sana kuelekea huu mchezo asee. Asante kwa kutukubali sana Mkuu!Mimi hapa ni Simba damu, lakini lazima nikiri kuwa Mtibwa ni noma
daah [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]mpira umeisha wamechomoa
Ina maana walichomekwa?mpira umeisha wamechomoa
yah goal 1 hadi dakika 90 wamechomoa kwenye za nyongezaIna maana walichomekwa?
Ndio hivyo 1-1daah [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]
Simba inaongoza kuomba point za mezani hadi FIFASimba na Yanga ni timu zenye upinzani mkubwa.
Lakini Maelezo haya yanaweza kukuonyesha ni kwa namna gani hali zao halisi zilivyo nje ya uwanja.
Yanga haina app, wala tovuti yake binafsi.Simba wanazo.
Simba inanufaika na Majengo yake mawili mtaa WA msimbazi kwa kupata kodi ya kifedha kariakoo na msimbazi kiasi cha shilingi Mili350.
Yanga jengo lake la jangwani ni ofisi. Hivyo Haipati pesa yoyote.
Simba inanufaika na Biashara ya jezi.kupitia kampuni ya AiG.
Yanga haina biashara yoyote. Inategemea Makada zaidi.[emoji125][emoji23]
Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.[emoji119](Data zipo)_[emoji118]
Simba IPO vizuri kiusajili kwasababu wana pesa[emoji383] . yanga ni wachovu sana.[emoji23].
Labda kitu pekee ambacho YANGA inaizidi Simba ni UWANJA.
Yanga wana Uwanja wao wakufanyia training ulioko Mjini. Simba wanao uwanja LAKINI upo nje ya mji.
Notabene.
Viwanja hivi viwili bado havisogei kwa uwanja Bora WA Azam FC.
Source TV 1
Kwa mazingira haya, Timu ya Simba ina thamani, hivyo ni ghali Zaidi kuliko Yanga.
Kweli kabisa. Mwaka wa tatu mfulilizo bado wanababaisha tu na ubingwa VPL. Wapuuzi kabisa Yanga. Tusishangae wanababaisha tena mwaka wa nne mfulilizo!Yanga wababaishaji mno