Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hana data. Data bank yao ni Haji Manara. Akisema lolote hawapati muda wa kujiuliza. Ni kuamini tu".....Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.(Data zipo)_
"![]()
Weka hizo data hapa tuone la sivyo uzushi
Yanga inao uwezo wa kwenda mbele ya Simba na tumeshadhihirisha hilo kwa rundo la makombe tuliochukua almost 10 zaidi yenu. Sasa unawezaje kusema tunabahatisha kama kweli mzima kichwani wewe?Yanga wababaishaji mno
ndio hivyo hizo data hajawekaMkuu, hana data. Data bank yao ni Haji Manara. Akisema lolote hawapati muda wa kujiuliza. Ni kuamini tu
Azipate wapi? Timamu wote wanajua Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi Tanzania.ndio hivyo hizo data hajaweka
Yanga inao uwezo wa kwenda mbele ya Simba na tumeshadhihirisha hilo kwa rundo la makombe tuliochukua almost 10 zaidi yenu. Sasa unawezaje kusema tunabahatisha kama kweli mzima kichwani wewe?
Sisi tunasubiri ukaribie mwisho wa msimu ndio tufanye yetu tupate kuandikwa kwa ile headline yetu pendwa....
View attachment 610498
View attachment 610499
View attachment 610500
Tv1?Simba na Yanga ni timu zenye upinzani mkubwa.
Lakini Maelezo haya yanaweza kukuonyesha ni kwa namna gani hali zao halisi zilivyo nje ya uwanja.
Yanga haina app, wala tovuti yake binafsi.Simba wanazo.
Simba inanufaika na Majengo yake mawili mtaa WA msimbazi kwa kupata kodi ya kifedha kariakoo na msimbazi kiasi cha shilingi Mili350.
Yanga jengo lake la jangwani ni ofisi. Hivyo Haipati pesa yoyote.
Simba inanufaika na Biashara ya jezi.kupitia kampuni ya AiG.
Yanga haina biashara yoyote. Inategemea Makada zaidi.[emoji125][emoji23]
Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.[emoji119](Data zipo)_[emoji118]
Simba IPO vizuri kiusajili kwasababu wana pesa[emoji383] . yanga ni wachovu sana.[emoji23].
Labda kitu pekee ambacho YANGA inaizidi Simba ni UWANJA.
Yanga wana Uwanja wao wakufanyia training ulioko Mjini. Simba wanao uwanja LAKINI upo nje ya mji.
Notabene.
Viwanja hivi viwili bado havisogei kwa uwanja Bora WA Azam FC.
Source TV 1
Kwa mazingira haya, Timu ya Simba ina thamani, hivyo ni ghali Zaidi kuliko Yanga.
Tatizo mbumbumbu fc wana maneno mengi sanaAzipate wapi? Timamu wote wanajua Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi Tanzania.
Haipewi nafasi? Mmekaa mnasubiri kupewa? Kumbe Manara hakuwa anatania kudai points za Kagera Sugar 'mpewe' nyinyi ilhali mmekung'utwa 2-1 uwanjani?!!!Timu ya nchi hyo ubabaishaji tuu
Simba ndo chama la wana japo haipewi nafasi ila ipo siku mtaiona international