Simba ni Bora kuliko Yanga nje na ndani ya uwanja.

Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.[emoji119](Data zipo)_[emoji118]
Nyie mashabiki na muwe wengi tu MADERA yenu, Yanga ndio ina vikombe vingi.

By the way, Mtibwa keshamimina mbegu huko. Oki na Korie ni mafuta zilipendwa
 
Bahati yao hawa simba wamechomoa japo kwa tabu sana SIMBA 1 MTIBWA 1
 
Eti kikosi cha 1.3bil, tia maji tia maji......
 
Sikiliza kikosi cha 1.3 billion kushangilia draw home ground
 
Simba inaongoza kuomba point za mezani hadi FIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…