NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Lazima awazungushe sababu Simba ndio wenye shida na yeye anaangalia maslahi yake.ni sawa aende nachosema awaambie waziwazi sio kuwazungusha,mara niitieni kaka yangu,wakimleta anadai apewe pesa zaidi,wakimpa anakataa,hio sio sawa awajibu kuwa hatasaini kama hataki
Kibu nae anadengua, Dunia inaenda Kasi sana.kibu anaidengulia simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana,kibu aelewe simba ni kubwa kuliko yeye
Goli 10 kibu, kibu ana goli Moja tu ligi na Moja CAF, kumi unaenda mbali sanaKama Simba ndio ilipofikia Basi viongozi waondoke, Kibu anaidengulia Simba sababu viongozi hawajui usajili mchezaji msimu mzima hafikishi hata goli 10 wa Nini.
Azam juzi kateremsha mchezaji kimyakimya au kwa sababu amewafunga yangu Mara mbili.
Tumchukue awe anatumika kama sub ya NzengeliVipi ikitokea Wananchi wakamkwapua? Hamuogopi? Mlambeni tu miguu. Maana hakuna namna nuingine.
Huyo jamaa ni mwamba sana tu. Anahitaji marekebisho kidogo tu. Hivyo msimchukulie poa.
Safi sanaKibu hana kipya... Ila kwakuwa mpira wa Simba na yanga ni kukomoana.... Basi namuomba Rais wetu afanye kweli 😅😅😅. Aje akae hata benchi tutamtumia kwenye mechi zenye uhitaji wa mikimbio na nguvu.
Sababu anaifungaga magoli YangaKibu nae anadengua, Dunia inaenda Kasi sana.
Ndio yale yale ya Yanga ya Utopolo kuwabembeleza wakina Nchimbi na BobanIla Simba imeshuka Sana hadhi, Hadi kumpigia magoti Kibu d. Aiseeh.
Kawafunga Yanga na nyinyi ndio mnategemea na kumpa sifa kila match ya Yanga ifikapo.Kama Simba ndio ilipofikia Basi viongozi waondoke, Kibu anaidengulia Simba sababu viongozi hawajui usajili mchezaji msimu mzima hafikishi hata goli 10 wa Nini.
Azam juzi kateremsha mchezaji kimyakimya au kwa sababu amewafunga yangu Mara mbili.
Labda Fluminense ya KizimkaziLast born wa Robertinho huyo atakuwa katafutiwa chaka Fluminense
Apewe donge Nono Maisha ya mpira Ni mafupi sanaaKibu anaidengulia Simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana, Kibu aelewe Simba ni kubwa kuliko yeye.
sio kweli Kibu ni mchezaji pekee anayejituma kwenye kikosi cha simba wengine uchezaji wao ni kama hawalipwi.Sababu anaifungaga magoli Yanga
Hakuna mchezaji mwenye vision kuhusu carrier yake atakubali kucheza Simba labda awe hana alternative .Kibu anaidengulia Simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana, Kibu aelewe Simba ni kubwa kuliko yeye.
Mkimuacha mtashuka ligi msimu ujao, msije mkasema sikuwaambia.Kibu anaidengulia Simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana, Kibu aelewe Simba ni kubwa kuliko yeye.
Kibu akitua yanga na vile Kuna watu pale wa pasi sukari,hatari.Kibu anaidengulia Simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana, Kibu aelewe Simba ni kubwa kuliko yeye.
Mchukueni akae benchi, mbona mkude mmemchukua.Wananchi tungemchukua sema tatizo atamweka bench nani?