NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Lazima awazungushe sababu Simba ndio wenye shida na yeye anaangalia maslahi yake.ni sawa aende nachosema awaambie waziwazi sio kuwazungusha,mara niitieni kaka yangu,wakimleta anadai apewe pesa zaidi,wakimpa anakataa,hio sio sawa awajibu kuwa hatasaini kama hataki
Inaonekana Simba hawajafika kiasi anachohitaji!!!