Simba: Ni nani kafanya Usajili wa wachezaji?

Simba: Ni nani kafanya Usajili wa wachezaji?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha msaidizi aondoke,
 
Matola
Mkude
Nyoni
Bocco
Mzamiru waondoke
 
Matola
Mkude
Nyoni
Bocco
Mzamiru waondoke
 
Utopolo mambo ya usajili wa Simba yanawahusu nini hivi yanga wanafanya usajili Kwa kumsikiliza kocha au mapenzi ya hersi
 
Kwa hiyo kocha akiondoka nafasi hiyo ya kocha uchukue wewe tuone maajabu yako?
Timu inacheza vuluvulu, hata Ile 3-0 ilichangiwa na bahati TU, hofu ya geita kwa timu na refa.
 
Utopolo mambo ya usajili wa Simba yanawahusu nini hivi yanga wanafanya usajili Kwa kumsikiliza kocha au mapenzi ya hersi
Nabi kachagiza Usajili Yanga, wachezaji wote ana kazi nao na anajuwa watamsaidiaje wapi na lini
 
Haoa sio ulaya ndugu,bongo hakuna kocha anayesajili wachwzaji
Kuna kamati ya usajili ikishirikiana na mtoa pesa
Kocha mwenyewe akizingiua anatimuliwa fasta analwtwa mwingine.
This is africa,usikariri
 
Bocco Ihefu
Akpan Coast
Kapama mkopo timu haijulikani
Phiri sijui itakuaje
Chama hakamatiki
Okwa sijui itakuaje

Viongozi na nyie mkataeni Mzungu.

Hatujamalizaaa mlete Maki Zora.
 
Tatizo timu za Bongo uswahili mwingi, Kocha wa Simba ana maono kwa siku za mbele,siye tunataka kufanikiwa leo..

Wachezaji wengi Simba wamechoka wapishe damu changa.
 
Bocco Ihefu
Akpan Coast
Kapama mkopo timu haijulikani
Phiri sijui itakuaje
Chama hakamatiki
Okwa sijui itakuaje

Viongozi na nyie mkataeni Mzungu.

Hatujamalizaaa mlete Maki Zora.
Ingawa Simba inashinda mechi zake lakini kwa anaefahamu mpira ataona kuwa Simba inashinda kwa taabu sana. Natabiri kuwa mechi ya kutoka sare na kufungwa haiko mbali sana kutoka Sasa. Phili, okrah, okwa, Quatarà sio kivileee.
 
Utopolo mambo ya usajili wa Simba yanawahusu nini hivi yanga wanafanya usajili Kwa kumsikiliza kocha au mapenzi ya hersi
Yanatuhusu bwashee, maana Raha ya Yanga ni ikiwepo Simba imara na kuifunga.
 
Back
Top Bottom