Waende kwenye page ya Jerry Muro wakajifunze kusema positive comments hasa ukweli ukiwa ni ukweliLeo vipi!!
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
[/QUOTE
vipi 4-1 Kuna makando kando?
Umesoma vizuri mada au umecomment tu?Bado upo wa utopoloni? Au unajikanda maji kwa kipigo
Umesoma vizuri mada au umecomment tu?Innocent vip unahaligani saizi
[emoji16][emoji16][emoji16]Tunasema hiviiiiiiiii......'HAKUNA KUPANDA NDEGE' mpaka siku mtakasema samahani nyie SIMBA tumewasingizia sana....
Leo ulimwangalia vizuri Kenbedy Juma.. Huyu mwamba leo kajitokea sana na kaficha madhaifuIla mimi ni Simba ila tusipo fanya marekebisho kwenye beki hasa pale kati Club bingwa Africa tutalowa nyingi.
Yeees!! Bila janjja janjja Yanga hafungwi na Simba.
Huu ndo ukweli Mkuu.
Mkuu ni bora kuwa na watu wa uhakika sio wa kuperform game hadi game.Leo ulimwangalia vizuri Kenbedy Juma.. Huyu mwamba leo kajitokea sana na kaficha madhaifu
RudiaKwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
Hebu rudiaYeees!! Bila janjja janjja Yanga hafungwi na Simba.
Huu ndo ukweli Mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtani za alinacha hizi. Teh teh
Aibu nimeona mimi.Yeees!! Bila janjja janjja Yanga hafungwi na Simba.
Huu ndo ukweli Mkuu.