Simba ni rahisi Sana kufungika

Simba ni rahisi Sana kufungika

bipolar
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
[/QUOTE
vipi 4-1 Kuna makando kando?
 
Ila mimi ni Simba ila tusipo fanya marekebisho kwenye beki hasa pale kati Club bingwa Africa tutalowa nyingi.
 
,
tapatalk_1594221476031.jpg
 
Ila mimi ni Simba ila tusipo fanya marekebisho kwenye beki hasa pale kati Club bingwa Africa tutalowa nyingi.
Leo ulimwangalia vizuri Kenbedy Juma.. Huyu mwamba leo kajitokea sana na kaficha madhaifu
 
Mkuu ni bora kuwa na watu wa uhakika sio wa kuperform game hadi game.
Simba isukwe vizuri center & wing back deffenders vifanyiwe kazi itafika mbali sana Club bingwa Africa.
 
Kwasisi ambao hatupepesi Simba amefungwa jumla ya mechi 7 za Ligi kuu na angekuwa ameshatolewa katika Azam cup kichofanyika MO na marefa wanakijua. Ndio maana Yanga wanasema Kama hakuna makondokando Simba hawezi kumfunga Yanga.
Rudia
 
Pambana na kuirekebisha timu yenu ndo uje kwetu..utopolo mnakwama wap
 
Back
Top Bottom