Simba ni 'threat' katika kukuza mpira Tanzania

Dukagere huyuhuyu anayeongoza kuwa na magoli mengi ligikuu amekuwa mziga!!!
 
Boko na ajibu hawawezi kucheza no 1 Boko ni center Forward wakati ajibu ni kiungo mshambuliaji, hata siku moja huwezi kumkuta ajibu kupangwa mshambuliaji wa kati, hata hivyo Tanzania kuna team nyingi wasipofanya Simba basi hata majimaji, Lipuli, Singida Utd, Mbao fc, Azam na zinginezo wafanye kile ambacho Simba hawafanyi kwakuwa haivunji sheria za soccer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…