Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo Kagere unayemuita mzee Simba waliwapora yanga akija kusaini akili za vyura wanazijua wenyeweIla wenyewe wanadai Kagere wa mwaka 1992 na Bocco wa 1994.
huyo Kagere unayemuita mzee Simba waliwapora yanga akija kusaini akili za vyura wanazijua wenyewe
Boko na ajibu hawawezi kucheza no 1 Boko ni center Forward wakati ajibu ni kiungo mshambuliaji, hata siku moja huwezi kumkuta ajibu kupangwa mshambuliaji wa kati, hata hivyo Tanzania kuna team nyingi wasipofanya Simba basi hata majimaji, Lipuli, Singida Utd, Mbao fc, Azam na zinginezo wafanye kile ambacho Simba hawafanyi kwakuwa haivunji sheria za soccerHabarini za Asubuhi wapendwa?
Leo nipo hapa kuongea kuhusukinachoendelea katika Club ya SIMBA. Viongozi wengi wa Simba especially Manara hana maono yoyote kuhusu mpira yupo kupiga kelele tu nina mashaka na Elimu yake ya darasani (asifanye niamini aliyosema Muro)
Boss wa Simba MO anathibitisha kuwa unaweza kuwa na mali ukakosa maarifa.
Kwanini nawaponda hawa watu?
Sababu wanashindwa kuelewa kuwa simba inaweza kufanyika kuwa daraja la kutoa wacheza kwenya kimataifa kuliko kukaa kukumbatia mizigo kama BOCCO. na KAGERE 36+ YEARS
Kwanini vijana kama Ajibu asiwe promoted?
Ndemla sawa hana nafasi ila hauwezi kuniambia Bocco ana uwezo kuliko Ajibu nikakuelewa. Kwa taarifa yenu tu uyo LUIS hana tofauti yeyote na KICHUYA ni kitendo cha mda tu.
Hata mkijitahidi kununua hamuwezi kufikia walipo Mazembe na wengine, mtajipotezea mda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app