Simba ni timu isiyo na furaha, ona hapa!

Hakuna kiongozi wa Yanga amesema Chama anasajiliwa na Yanga.

Simba Sasa hivi hakuna anaeaminika hata kwa wanasimba wenyewe. Hebu Ona jezi ziko wapi mpaka sasa? 20b? Morrison kuachwa? Mkude? Dejan?
umeshasikia jezi zinacheza mpira, Morrison alikuwa mchezaji wa Simba? Mkude mkataba umeisha na nyie mkamuokota kama mshabiki wa Simba wachezaji wa yanga hawanihusu
 
Vunja bei alikuwa anachelewesha jezz huyu wa Sasa zimewahi?
 
umeshasikia jezi zinacheza mpira, Morrison alikuwa mchezaji wa Simba? Mkude mkataba umeisha na nyie mkamuokota kama mshabiki wa Simba wachezaji wa yanga hawanihusu
kocha Brazil, wachezaji nusu Uturuki na nusu Dar es salaam, Tz. Hebu niambie hapo fuhara iko wapi?
 
kw

kwa hiyo mlivyoenda kucheza Malawi bila kocha hamkuwa na furaha?
ndio maana yule kocha aliwatukana na Bado mkaambiwa mumlipe.
 
Kabla ya hiyo misimu 4 uliteseka misimu 5 mfululizo bila kitu chochote. Hapo vipi?
Aah wapi haijawahi tokea..lete takwimu hapa misimu 4 ya simba kutesa ndo ilikua mingi zaidi...
 
Preseason ya michongo, kama vile hawakuwa na taarifa kama kocha mkuu hakuwa na vigezo, wachezaji wengine hawana vibali vya kusafiria na wachezaji wengine hawajamalizana kwenye usajili. vuluvulu,
 
Toa ushahidi hapa kwani kesi? Nitakubali labda nimepitiwa
2012 Yanga sc, 2013 Azam fc, 2014 Yanga sc, 2015 Yanga sc, 2016 Yanga sc ok umelizika au bado? Miska mingapi hiyo Simba yako ilipotea?
 
Mipango ya Simba inapangwa kwa kuizunguuka Yanga. Yanga reference point Yao ni Yanga. Kitaalam tunasema Yanga ndio gold standard ya Simba. Hiyo ni tabia ya inferiority complex.
 
2012 Yanga sc, 2013 Azam fc, 2014 Yanga sc, 2015 Yanga sc, 2016 Yanga sc ok umelizika au bado? Miska mingapi hiyo Simba yako ilipotea?
Hii ni bato ya Yanga na Simba kumkalia Simba miaka 5 mfululizo..kama.simba alivyofanya kwa miaka 4 mfululizo...
Anya way yaishe ...nitaangalia na mm hizo takwimu
 
Kaangalie alafu urudi ili tufanye hitimisho kulingana na comment yako
 
Na nyie mliteseka 5 years kabla hamjarudi kwenye njia
Na ukitaka ya Yanga sc kumtesa Simba sc 5 yrs mfululizo rekodi zipo na nitakuwekea. Kama umeanza kushabikia mpira huu kipindi cha Muddy hizi rekodi huwezi kuwa nazo. Ila sisi wehenga haya yooote kwetu ni marudio tu, hakuna jipya.
 
Hii ni bato ya Yanga na Simba kumkalia Simba miaka 5 mfululizo..kama.simba alivyofanya kwa miaka 4 mfululizo...
Anya way yaishe ...nitaangalia na mm hizo takwimu
Na ukitaka ya Yanga sc kumtesa Simba sc 5 yrs mfululizo rekodi zipo na nitakuwekea. Kama umeanza kushabikia mpira huu kipindi cha Muddy hizi rekodi huwezi kuwa nazo. Ila sisi wehenga haya yooote kwetu ni marudio tu, hakuna jipya.
 
Na ukitaka ya Yanga sc kumtesa Simba sc 5 yrs mfululizo rekodi zipo na nitakuwekea. Kama umeanza kushabikia mpira huu kipindi cha Muddy hizi rekodi huwezi kuwa nazo. Ila sisi wehenga haya yooote kwetu ni marudio tu, hakuna jipya.
Mimi ni mshabiki wa Simba toka Tumboni mwa mama...
 
Preseason ya michongo, kama vile hawakuwa na taarifa kama kocha mkuu hakuwa na vigezo, wachezaji wengine hawana vibali vya kusafiria na wachezaji wengine hawajamalizana kwenye usajili. vuluvulu,
aliyesema wenye akili Yanga ni wawili hakukosea, nani kakwambia kocha wa Simba Hana vigezo? yule kocha ni mkufunzi kaenda kuwapa kozi makocha wengine.
 
Simba hawana furaha hata kidogo. Wadau wote wanapigwa shoti kila wakati. Huku mo anawachetua kila wakati mara atishie hiki mara kile, huku timu anakosa hata jagi la maji miaka 2, huku kuna Ahmed Ally anawageuza mashabiki anavyotaka kwa kuwaaminisha kuwa simba haisajili mchezaji aliyepewa thank you wala free agent kumbe uongo tu, huku hivi huku vile ilimradi presure za wanasimba. NIna jamaa yangu alipata stroke siku mo aliposema anakaribia kukata tamaa hadi leo hajapata nafuu kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…