rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
umeshasikia jezi zinacheza mpira, Morrison alikuwa mchezaji wa Simba? Mkude mkataba umeisha na nyie mkamuokota kama mshabiki wa Simba wachezaji wa yanga hawanihusuHakuna kiongozi wa Yanga amesema Chama anasajiliwa na Yanga.
Simba Sasa hivi hakuna anaeaminika hata kwa wanasimba wenyewe. Hebu Ona jezi ziko wapi mpaka sasa? 20b? Morrison kuachwa? Mkude? Dejan?