Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Mbona Simple tu we kenge?. Mnyonge ni yule aliekosa hata kakikombe ka bonanza msimu mzima. Kukusaidia fanyeni hivi nyie pambane sana kombe lenu kuifunga Yanga tu. Ila Yanga anapambania makombe yote muhimu.Basi tuchukue Simba na Yanga mechi ya mwisho badala ya miaka mitano. Nani mnyonge? 😁
Basi tuchukue Simba na Yanga mechi ya mwisho badala ya miaka mitano. Nani mnyonge? 😁