Simba ni wanyonge Kwa Azam?

Basi tuchukue Simba na Yanga mechi ya mwisho badala ya miaka mitano. Nani mnyonge? 😁
Mbona Simple tu we kenge?. Mnyonge ni yule aliekosa hata kakikombe ka bonanza msimu mzima. Kukusaidia fanyeni hivi nyie pambane sana kombe lenu kuifunga Yanga tu. Ila Yanga anapambania makombe yote muhimu.
Basi tuchukue Simba na Yanga mechi ya mwisho badala ya miaka mitano. Nani mnyonge? 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…