Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujiii
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Ni kweli Simba wana njaa Kali ya kunyakuwa makombe,haijalishi wanashiriki michuano ya Aina gani.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Yaakhee tuipe heshima yao mnyama,kwanini mechi yetu wananchi,dhidi ya Mtibwa tulipanga kikosi dhaifu?ukweli mchungu matokeo Yale yametuumiza sisi mashabiki kindakindaki.Si wanajua kombe la league msimu huu si lao ndo maana wamekodolea macho hicho kikombe cha mbuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
VPL, FA, SPORTPESA, MAPINDUZI na uchafu utakaotokea mbele yetu, tunashida navyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Km ambavyo Yanga yako ilivyoenda na kocha wake mpya anyeeongoza kwa kufukuzwafukuzwa na kikosi full kisa mapinduzi cup lakini mwisho wa siku mmerudi na Mapinduzi BalamaNyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Km ambavyo Yanga yako ilivyoenda na kocha wake mpya anyeeongoza kwa kufukuzwafukuzwa na kikosi full kisa mapinduzi cup lakini mwisho wa siku mmerudi na Mapinduzi Balama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiazi mbatataNyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Yanga pekee ndio imebeba VPL na FAUkubwa wa timu, pamoja na kubeba mataji yote, yanayojitokeza, furaha ya mashabiki na hata wachezaji wenyewe, ni kubeba mataji.
Hata kocha wa yanga amejinasibu kuwa, amekuja kubeba mataji, kwanza inamuongezea sifa. Hata mchezajo wa yanga kabwili, ameliongelea hilo sifa ya club kubwa ni kubeba mataji.
Sasa Club inayosubiri kubeba taji moja tu ya ligi kuu sijui kama ina ukubwa unaostahili, Kocha wa Simba akibeba mapinduzi, FA, na kombe la ligi kuu ya Vodacom, baada ya hapo tayari Civ yake inatuna.
Ausens, Civ aliokuja nayo Simba, ilikua ndogo kuliko alipoondoka simba ameondoka civ yake ikiwa imetuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama yenu mmepigwa na Mtibwa, ungelia kilio Cha kwikwi kwenye fainaliNyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa