Simba njaa yenu kali sana..!!duhhhh...

Simba njaa yenu kali sana..!!duhhhh...

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
6,260
Reaction score
7,395
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
 
Si wanajua kombe la league msimu huu si lao ndo maana wamekodolea macho hicho kikombe cha mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaakhee tuipe heshima yao mnyama,kwanini mechi yetu wananchi,dhidi ya Mtibwa tulipanga kikosi dhaifu?ukweli mchungu matokeo Yale yametuumiza sisi mashabiki kindakindaki.
IMG-20200110-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukubwa wa timu, pamoja na kubeba mataji yote, yanayojitokeza, furaha ya mashabiki na hata wachezaji wenyewe, ni kubeba mataji.

Hata kocha wa yanga amejinasibu kuwa, amekuja kubeba mataji, kwanza inamuongezea sifa. Hata mchezajo wa yanga kabwili, ameliongelea hilo sifa ya club kubwa ni kubeba mataji.

Sasa Club inayosubiri kubeba taji moja tu ya ligi kuu sijui kama ina ukubwa unaostahili, Kocha wa Simba akibeba mapinduzi, FA, na kombe la ligi kuu ya Vodacom, baada ya hapo tayari Civ yake inatuna.

Ausens, Civ aliokuja nayo Simba, ilikua ndogo kuliko alipoondoka simba ameondoka civ yake ikiwa imetuna.
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Km ambavyo Yanga yako ilivyoenda na kocha wake mpya anyeeongoza kwa kufukuzwafukuzwa na kikosi full kisa mapinduzi cup lakini mwisho wa siku mmerudi na Mapinduzi Balama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukubwa wa timu, pamoja na kubeba mataji yote, yanayojitokeza, furaha ya mashabiki na hata wachezaji wenyewe, ni kubeba mataji.

Hata kocha wa yanga amejinasibu kuwa, amekuja kubeba mataji, kwanza inamuongezea sifa. Hata mchezajo wa yanga kabwili, ameliongelea hilo sifa ya club kubwa ni kubeba mataji.

Sasa Club inayosubiri kubeba taji moja tu ya ligi kuu sijui kama ina ukubwa unaostahili, Kocha wa Simba akibeba mapinduzi, FA, na kombe la ligi kuu ya Vodacom, baada ya hapo tayari Civ yake inatuna.

Ausens, Civ aliokuja nayo Simba, ilikua ndogo kuliko alipoondoka simba ameondoka civ yake ikiwa imetuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga pekee ndio imebeba VPL na FA
 
Kagere aanze kujitathmini sasa.
Uwezo wake unazidi kupungua.
Mechi ya Simba na Azam ya nusu fainali Mapinduzi Cup iliyofanyika tarehe 10/01/2020, amecheza chuni ya kiwango sana.
Nafasi za wazi yeye na kipa beki yupo mbali, anapasia kusikojulikana.
Anakosa penati kwa kupiga kashuti dhaifu kabisa.
Karibu mechi nne sasa hajafunga.
Simba bado tunahitaji Straika wa mwisho wa kiwango cha
Kipre Cheche.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
Salama yenu mmepigwa na Mtibwa, ungelia kilio Cha kwikwi kwenye fainali
 
Back
Top Bottom