Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sawa Kila zama na kitabu chake!!Ameweka record ya kuuzwa bei kubwa kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi ya bongo, usisahau kunitajia goli moja tu alilofunga babu Saido kwenye mechi za CAF ukikosa nitajie hata assist moja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
huyo forwad kama mayele yupo wapi??Kusema kweli Che Malone akipata fowadi msumbufu kama alivyokuwa Mayele, ndipo wote tutakapomuona hafai
Jamaa anasema Beki kafanya makosa mawlli. Beki asiyefanya kosa labda ashushwe toka mbinguniSimba imeruhusu magoli mangapi?
Hawezi kujibu!!Simba imeruhusu magoli mangapi?
Wanaojua mpira wamemwona anakidhi viwango na wamemnunua kwa pesa ya kueleweka.Namaanisha anakuzwa sana. Misimu yote miwili hakuwa mfungaji Bora peke yake na Wala wastani wake Wa kufunga Kwa mechi haukuwa mkubwa sana.
Ila umaarufu wake uliletwa na kutetema anapofunga!!
Hakuna binadamu aliyekamilika acha ufala weye. Yaani mechi mbili ushahitimisha kuwa tumepigwa yaani akili huna kwelikweli.Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.
Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa.
Sasa hapa Simba inatapambana na Timu za daraja la kawaida kabisa, huko Super Ligue na Champion league sijui itakuaje. Kiufupi huyu jamaa sio mmbaya sana lakini naona kwa level za Simba Bado sana.
Hawa watangazaji wanatoa sifa za kijinga tu eti electrical fence, kumbe ukuta wa makuti tu.
Hao uliowataja ni lini walikuwa wafungaji bora kwa Afrika?Kwa Mantiki ipi nastahili kuitwa mpuuzi na nimepuuzia nini?
Mayele alikuwa Wa kawaida sana na ndiyo maana kashindwa kuzifikia rekodi za kina Kagere na Bocco walipokuwa kwenye viwango vyao vya Juu.
Ni suala la Muda tu Hiyo rekodi itavunjwa kama timu za maana zikipangiwa timu kama Zalan!!Hao uliowataja ni lini walikuwa wafungaji bora kwa Afrika?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hili la kuwa sio mfungaji mzuri sana ni sawa, ila kuhusu ushambuliaji bora, kwa maana ya kuitendea haki nafasi ya straiker na maarifa kama mchezaji alikuwa kwenye daraja la juu sana!Namaanisha anakuzwa sana. Misimu yote miwili hakuwa mfungaji Bora peke yake na Wala wastani wake Wa kufunga Kwa mechi haukuwa mkubwa sana.
Ila umaarufu wake uliletwa na kutetema anapofunga!!
Yap!! Kwenye hoja ya kwamba alikuwa ni " aggressive Striker" hilo halina mjadala.Hili la kuwa sio mfungaji mzuri sana ni sawa, ila kuhusu ushambuliaji bora, kwa maana ya kuitendea haki nafasi ya straiker na maarifa kama mchezaji alikuwa kwenye daraja la juu sana!
Hi nchi kila mtu ni kocha....ukija Kwa hao wanaojiita wachambuzi ndio unachoka kabisa.......yaani mdomoni tupo vizuriJamaa anasema Beki kafanya makosa mawlli. Beki asiyefanya kosa labda ashushwe toka mbinguni
Wakikujibu Utopolo nitag!Simba imeruhusu magoli mangapi?
Kauzwa bei gani na Sakho kauzwa bei ganiAmeweka record ya kuuzwa bei kubwa kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi ya bongo, usisahau kunitajia goli moja tu alilofunga babu Saido kwenye mechi za CAF ukikosa nitajie hata assist moja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app