Simba Queen yapata Basi kubwa jipya. Yanga Princess vipi!?

Tumuulize Makamu Rais hili swala. Maana alisema kuhusu Yanga Princess yeye ndo wakuulizwa.
‘Au nadanganya ndugu zangu’?!
 
Sisi Simba tumewekeza kwenye soka la Wanawake.

Tumeshindwa kumrejesha Konde Boy amepelekwa Uarabuni kwa mkopo!

 
Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku.
Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
View attachment 2343062
Kwanza ieleweke kuwa si kila kitu kinachofanyika upande mmoja kifanyike na upande mwingine japo mazuri kuyaiga si dhambi mimi naona kila timu ina mipango yake na namna ya kufikia malengo ya hicho walichojipangia. Hongera sana kwa simba kuipatia timu yetu ya wwns wake usafiri
basi kubwa la kisasa
La pili mkuu hapa umeongea kishabiki elcher ni basi la kawaida mno tofauti yake na cosster ni ukubwa wa bodi tu
 
Timu haina hata verified account unataka uilinganishe na Simba queens? Timu iliyosajili wachezaji siku moja kabla ya dirisha kufungwa uilinganishe na queens?
 
Tuoneshe la Yanga princess
 
Yule raisi wa tff anatuonea sana yanga hii dili ilikuwa yetu ila amewapa yanga tunajipanga tuende FIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…