The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hao "Mihogo FC" ndiyo akina nani mkuu?ππππHawa mademu wanapiga sana boli japo hawapigiwi propaganda kama timu ya wanaume.
Kuna Yule kiungo wao Fatma Mwenye kilemba muda wote kichwani yupo vizuri sana Yule demu.
Hivi mihogo FC, Wana timu ya wanawake? Na kama ipo inaitwaje vile?
VyuraHao "Mihogo FC" ndiyo akina nani mkuu?ππππ
Mbona wana majina mengi kuliko kiwango na uwezo wao wa kucheza mpira?ππππVyura
Dah tajiri wamewadharau sanaHao "Mihogo FC" ndiyo akina nani mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]