Simba queens hawavumi ila wamo

Simba queens hawavumi ila wamo

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hawa mademu wanapiga sana boli japo hawapigiwi propaganda kama timu ya wanaume.

Kuna Yule kiungo wao Fatma Mwenye kilemba muda wote kichwani yupo vizuri sana Yule demu.

Hivi mihogo FC, Wana timu ya wanawake? Na kama ipo inaitwaje vile?
 
Tuna luhanda sjui kuvanda anapiga kabumbu usiombe kabsa
 
Hawa mademu wanapiga sana boli japo hawapigiwi propaganda kama timu ya wanaume.

Kuna Yule kiungo wao Fatma Mwenye kilemba muda wote kichwani yupo vizuri sana Yule demu.

Hivi mihogo FC, Wana timu ya wanawake? Na kama ipo inaitwaje vile?
Hao "Mihogo FC" ndiyo akina nani mkuu?😂😂😂😂
 
Tajiri aliishi na Waarabu kwahiyo dharau kawaida nyie vyura a.k.a matacle fc
 
Back
Top Bottom