Simba Queens imetolewa mashindanoni na mko kimya tu

Ndugu yangu suala la ushabiki wa mpira Tanzania ni ushamba wa hali ya juu sana.

Nahisi hatujui maana ya mpira na tunaukosea mpira kwa kuufanya uwe sehemu ya kuhara na kutapika vitu vya ajabu visivyo na faida yoyote katika soka.

Mpira ni takwimu, mpira ni vikombe, mpira ni fedha na mpira ni mafanikio. Nataka wewe shabiki wa Yanga tumia akili za kawaida kisha niambie kati ya hao Simba Queens na Yanga Sc ni timu gani ilifanya vizuri kwenye mashindano yake ndani ya miaka mitatu iliyopita.

Ukipata jibu anza kujiuliza ukubwa wa timu yako kwa sasa ni nini? Usajili wa kelele au kuwa na wasemaji wapiga kelele ambao wanakuja kuwajaza imani kwa mzoga uliooza na wenye kutoa harufu upambwe na kuonekana ni nyama inayofaa.

Angalia wenzenu ambao mnawabeza kishingo upande wamefika wapi katika soka ndani na nje ya Tanzania. Ndani ya kipindi kifupi wanacheza robo fainali mbili za CAFCL hii si bahati mbaya ni mikakati iliwekwa.

Tengenezeni timu shindani ambayo itakuzwa na mpira na matokeo yake na si kelele za kishabiki zisizo na manufaa kwa timu yenu.
 
Stika ya gari hiyo, wala usihadaiwe na photoshop
Sio photoshop.

Ile ni nembo ya plastic ambayo inapatikana kwenye jezi ya simba ya msimu huu. Tofauti na nembo ya Yanga ambayo yenyewe inakuwa imedariziwa kwenye jezi moja kwa moja.
Your browser is not able to display this video.
 
Wanaifuatilia hadi Simba Queens huko Kenya. Cha ajabu hawajui hata Rivers amejipigia bingwa wa nchini kwao katika kujiandaa na mechi ya Yanga
 
Umeangalia mechi lakini au umechukua matokeo tu. ungekuwa mtu makini ningekupa highlights mimi niliyeangalia game yote. Ila kwa wewe topolo itakuwa kupigia mbuzi gitaa
 
Wanaifuatilia hadi Simba Queens huko Kenya. Cha ajabu hawajui hata Rivers amejipigia bingwa wa nchini kwao katika kujiandaa na mechi ya Yanga
Bayelsa United FC is a football club based in Yenagoa, Bayelsa, Nigeria. They play in the second division of Nigerian football, the Nigeria National League.

Hii ni friendly. Imechezwa Al hamisi//

Bayelsa United FC sio mabingwa wa NFPL.

 
Umeangalia mechi lakini au umechukua matokeo tu. ungekuwa mtu makini ningekupa highlights mimi niliyeangalia game yote. Ila kwa wewe topolo itakuwa kupigia mbuzi gitaa
Ndio yale yale ya Chenga twawala...
 
Naona umeirudia mechi moja mara tatu! Nilitegemea pia utaweka ile ya Simba alipoifunga Yanga 6-0, huku King Kibaden Mputa akipiga hat-trick
Si umeona sasa!

Kumbe akili zako uliziweka kwenye waleti. Haya sasa hapo ndio kwenye hoja yenye msingi. sio hizo 5, maana kila mtu alikwisha wahi kumfunga mwenzake goli 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…