Simba Queens imetolewa mashindanoni na mko kimya tu

Subiri kidogo tupo tunajitahidi kumuokoa Conde huku
 
Mtani nakuja kukupumulia msimu huu yaani.
Huna ubavu aisee. Kwanza waamuz wangekua wazuri round iliyopita ungekuwa wa 4 au 5 maana timu bovu kinoma kuna point zaidi ya 12 mlipewa offside au penalty za uongo kumbuka game na simba ya kwanza ile penalty ya uongo.kabsa.
 
Kumbe na nyinyi mnajua kulalamika.
 
Back
Top Bottom