Simba Queens yaikung'uta Yanga SC 4-1

Simba Queens yaikung'uta Yanga SC 4-1

Simba wapewe tu hilo kombe, hivi vipigo wanavyotoa huko tangu hiyo ligi ianze atakuja kuzimia mtu, sitaki lawama.
 
Masimba jike yamefanya yao.
Haya yanaonekana ni makali kuliko Masimba majanaume na Mimi ningependa kuyaona haya ndiyo yangekwenda Zanzibar angalau yanaweza kuleta ushindani kwa Yanga na wala si vinginevyo.Masimba majanaume hayana uwezo mabovu mno kisoka vinginevyo Yanga atatuchakaza kule Zanzibar
 
Huyo kocha wa yanga asitishiwe mkataba wake haraka sana, kiazi mkubwa huyo
 
Niliwahi kusema humu kwamba utopolo ni utopolo tu, hawajawahi kuwa na akili hawa watu, awe mtoto, mtu mzima, mwanamke kwa mwanaume.
 
Kwanza unamfahamu vizuri kabisa mayele? Kama humfahamu muulize manura kabla haujaja tena huku kuandika tena uhalo wako.
Na nyie muulizeni diarra kuhusu kanoute atawasimulia ni mtu wa namna gani.
 
Niliwahi kusema humu kwamba utopolo ni utopolo tu, hawajawahi kuwa na akili hawa watu, awe mtoto, mtu mzima, mwanamke kwa mwanaume.
Fikiria mchezaji(Feisal) anasema alivyofunga goli (dk ya 82) dakika zilikuwa zimeisha (ndio maana alishangilia sana).Hakika utopolo ni utopolo kichwani.
 
Haya yanaonekana ni makali kuliko Masimba majanaume na Mimi ningependa kuyaona haya ndiyo yangekwenda Zanzibar angalau yanaweza kuleta ushindani kwa Yanga na wala si vinginevyo.Masimba majanaume hayana uwezo mabovu mno kisoka vinginevyo Yanga atatuchakaza kule Zanzibar
Ubovu wa Simba uko wapi kwenye mapinduzi wakati bado wapo,au umepewa mimba na msimbazi
 
20220109_190804131878.jpg

Shishimbi aliupiga sana,bahati mbaya alikutana na mido mtaalam Joelle Bukuru akapotezwa
 
Back
Top Bottom