Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wakome sasa.Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya Police Bullets.
FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
Na itakuwa hivyo.Safi kabisa, bora mji upoe maana makolo wana kelele sana